Monday, August 25, 2014

Vizuka (Phantoms)

Kizuka (Phantom)

Kizuka katika imani ya kitamaduni ni onyesho la kimaumbile ya roho ya mtu aliyekufa ambayo huzurura miongoni mwa wanaoishi. Tofauti na mzuka, kizuka hufanana kwa karibu zaidi na wanaoishi. Wakati mwingi huwa hawadhaniwi kuwa mzuka mpaka wanapotenda matendo magumu ya kioja, kama vile kutembea kupitia ukuta au kupotelea hewani.

A phantom in traditional belief is a physical manifestation of the soul of a deceased person that wanders among the living. Unlike the ghost, phantoms most closely resemble the living. Most often they are not even suspected of being a ghost until they perform eerie feats, such as walking through a wall or vanishing into thin air.

No comments:

Post a Comment