Monday, August 25, 2014

Mizuka-pacha (Doppelgängers)


Mzuka-pacha (Doppelgänger; lit.: Twin ghost)
Mzuka-pacha ni pacha wa nje ya kawaida wa mtu anayeishi, hasa kuwakilisha uovu au bahati mbaya. Katika tamaduni zingine, mzuka-pacha akionekana na marafiki au jamaa wa mtu huyo hutabiri ugonjwa au hatari, ilhali kuona mzuka-pacha wako mwenyewe ni ishara ya mauti.

A doppelgänger is a paranormal double of a living person, typically representing evil or misfortune. In some traditions, a doppelgänger seen by the person’s friends or relatives portends illness or danger, whereas seeing one’s own doppelgänger is an omen of death.

Vardøger
Katika mitholojia ya Kinorsi, mzuka-pacha anaitwa vardøger. Pepo huyu hutangulia mtu anayeishi na huonekana akitekeleza matendo kabla ya wakati wake, na kwa Kifini hujulikana kama etiäinen.

In Norse mythology, a twin ghost is called a vardøger. This spirit precedes a living person and is seen performing their actions in advance, and in Finnish it is known as an etiäinen.

Ka
Katika mitholojia ya Misri Kongwe, ka ilikuwa ”pepo pacha” inayoshikika ikiwa na kumbukumbu na hisia sawa kama mtu asilia.


In Ancient Egyptian mythology, a ka was a tangible “spirit double” having the same memories and feelings as the original person.

No comments:

Post a Comment