Monday, August 25, 2014

Baharia Neptuni (Sailor Neptune)

Baharia Neptuni (Sailor Neptune)
Baharia Neptuni wakati mwingine huchukuliwa kama asiyeshujaa: mwenye madaha, mstaarabu, wakati mwingine mwenye dharau na anayejitolea kwa dhati katika kazi yake kama Skauti-Baharia. Yeye humiliki nguvu zinazohusishwa na bahari, uwezo wa kubashiri na mengine mengi yanayopewa na kioo cha kichawi. Nguvu zake za utambuzi ni za kiwango cha juu kuliko za wenzake na yanaweza kutofautisha kama fuwele wa moyo safi ni hirizi au la. 

Sailor Neptune is sometimes portrayed as an antihero: elegant, sophisticated, occasionally cold and fully dedicated to her duty as a Sailor Scout. She possesses powers associated with the sea, precognitive abilities and various others granted by a magic mirror. Her powers of perception are greater than those of her teammates and can distinguish whether a pure heart crystal is a talisman or not. 

Kwa Nguvu ya Sayari ya Neptuni (Neptune Planet Power)
Ili kubadilisha, yeye hutumia fimbo ya sayari (inayofanana na rangi ya mdomo). 

To transform, she uses the planet rod (which resembles lipstick). 

Kabobo ya Neptuni (Neptune Tidal Wave)
Anaweza kudhibiti maji na ana udhibiti fulani juu ya bahari. 

She can control water and has some control over the sea itself.

Kioo cha Kina cha Bahari (Deep-Sea Mirror)
Anaweza kufurisha maeneo mazima kwa kabobo, kuzamisha nyumba chini ya maji au kutumia Kioo chake cha Kina cha Bahari kutambua udhaifu wa adui wake.

She can flood entire areas with a tidal wave, submerge a house under water or use her Deep-Sea Mirror to reveal her enemy’s weaknesses.

No comments:

Post a Comment