Friday, June 24, 2011

Aina za Seli (Types of Cell)



Aina za seli (Types of cell)
Besofili Basophil
Iosinofili Eosinophil
Limfosaiti Lymphocyte
Manii Spermatozoa
Monosaiti Monocyte
Msuli laini Smooth muscle
Msuli wa vifereji Striated muscle
Msulimoyo Cardiac muscle
Nyutrofili Neutrophil
Ova Ovum
Seli ya mifupa Bone cell
Seli ya neva Nerve Cell
Seli za misuli Muscule cells
Seli za tezi Gland cells
Seli za uzazi Reproductive cells
Selidamu Blood Cells
Selidamu nyekundu Red blood cells
Selidamu nyeupe White blood cells

Sunday, June 19, 2011

Nchi ya Brazili (The Country of Brazil)



Brazili (Brazil)
Kibrazili (Brazilian)
Mbrazili, Wabrazili (Brazilian; Brazilians)
Kireno cha Kibrazili (Brazilian Portuguese)

Açaí puddingPudini ya asaiberi
AcreAkre
AlagoasAlagoasi
AmapáAmapaa
AmazonasAmazona
Avenida PaulistaBarabara ya Sao Paulo
BahiaBahia
Body tattoosChale za mwilini
Brazilian centavoSenti ya Kibrazili
Brazilian PortugueseKireno cha Kibrazili
Brazilian real ( R$ )Reali ya Kibrazili ( R$ )
Brazil's coat of armsNembo ya Brazili
Brigadeiro (Brazilian chocolate bonbon)Brigadia (Peremende ya chokoleti ya Kibrazili)
Caipira dressGauni la kaipira
Carnival costumesMavazi ya Kanivali
CearáSearaa
Checkered shirtShati la miraba
Churrasco meatNyama ya churasko
CoxinhaKoshinya
Current currency of BrazilFedha zinazotumika za Brazili
Espírito SantoRoho Mtakatifu
Feijoada (Stew of beans and meat)Feijoada (Mchuzi wa maharagwe na nyama)
GoiásGoyasi
JaguarJagwa
JeansJinzi
Kayapo headdressDusumali ya Kikayapo
Man dressed in a carnival costumeMwanamume aliyevaa mavazi ya kanivali
MaranhãoMaranyau
Mato GrossoMsitu Mzito
Mato Grosso do SulMsitu Mzito wa Kusini
Minas GeraisMachimbo ya Jumla
MoquecaMokeka
National costume of BrazilMavazi ya taifa ya Brazili
Paçoca (Brazilian peanut candy)Pasoka (Peremende ya njugu ya Kibrazili)
Pão de queijo (Cheese bread)Mkate wa jibini
ParáParaa
ParaíbaParaiba
ParanáParanaa
ParrotKasuku
PernambucoPernambuko
PiauíPiawii
Requeijão (Brazilian cream cheese)Rekeijau (Jibini ya malai ya Kibrazili)
Rio de JaneiroMto wa Januari
Rio Grande do NorteMto Mkubwa wa Kaskazini
Rio Grande do SulMto Mkubwa wa Kusini
RondôniaRondonia
RoraimaRoraima
Santa CatarinaMtakatifu Katharina
São PauloSau Paulu
SergipeSerjipe
Straw hatChapeu ya mabua
The Amazon rainforestMsitu wa mvua wa Amazoni
The Cathedral of BrasíliaKanisu Kuu la Brazilia
The language of BrazilLugha ya Brazili
The Statue of Christ the RedeemerSanamu ya Kristo Mwokozi
TocantinsTokantini
Traditional attire of the KayapoNguo za mapokeo za Wakayapo
VatapáVatapaa
Woman dressed in a carnival costumeMwanamke aliyevaa mavazi ya kanivali

Saturday, June 18, 2011

Nchi ya Grinlandi (The Country of Greenland)



Grinlandi (Greenland)
Mgrinlandi; Wagrinlandi (Greenlander; Greenlanders)

Kigrinlandi (Greenlandic) ni lugha ya Kieskimo-Kialeuti izungumzwayo na watu takriban 57,000 wa Grinlandini na Udenini.
Nuuki (Kigrin.: Nuuk, "rasi") ni mji mkuu wa Grinlandi na pia huitwa Godthåb "matumaini mema" kwa Kideni.
Kahawa ya Kigrinlandi ni kokteli ya kileo itengenezwayo kwa kahawa ya moto, wiski, Kahlúa (pombe tamu ya kahawa), Grand Marnier (brandi ya Kifaransa yenye ladha ya danzi) na malai yaliyopigwa.
Suasati (Kigrin.: Suaasat) ni chakula cha taifa cha Grinlandi. Ni supu ya Kigrinlandi itengenezwayo kwa vitunguu, viazi, mchele, jani la mbei na nyama ya sili (nyangumi, kulungu aktiki au ndege-bahari).
Mukluki ni aina ya buti laini litengenezwalo kwa ngozi ya kulungu aktiki au sili na livaliwalo na wananchi wa asili ya Aktiki, kama Waeskimo.

Aappalaartoq "Nyekundu"Aappalaartoq "The red"
Anjelika (aina ya kiungo)Angelica (a type of spice)
BarafutoGlacier
Bendera ya GrinlandiThe flag of Greenland
Bia ya KigrinlandiGreenlandic ale
Dubu barafuPolar bear
Erfalasorput "Bendera yetu"Erfalasorput "Our flag"
Fedha za zamani za GrinlandiOld Greenlandic currency
Fedha zinazotumikaCurrent currency
Hifadhi ya Taifa ya GrinlandiNortheast Greenland National Park
Kahawa ya KigrinlandiGreenlandic coffee
Kaplini (aina ya samoni)Capelin (type of salmon)
KideniDanish
KigrinlandiGreenlandic
KileoAlcohol
Beri-kunguru (aina ya buluuberi)Crowberries (type of blueberry)
Krona 5 (Shilingi 5 za Kigrinlandi)5 kroner
Krona za KideniDanish kroner
Lugha za GrinlandiThe languages of Greenland
Manispaa ya KatiQeqqata
Manispaa ya KusiniKujalleq
Manispaa yenye Barafu Nyingi KabisaSermersooq
Manispaa yenye Giza ya NchaQaasuitsup
Mgrinlandi wa kikeFemale Greenlander
Mgrinlandi wa kiumeMale Greenlander
Mukluki (Mabuti ya Kigrinlandi)Mukluks (Greenlandic boots)
Nembo ya GrinlandiGreenlandic coat of arms
Nguo za mapokeo za KigrinlandiTraditional Greenlandic attire
Nuuki (mji mkuu wa Grinlandi)Nuuk "Peninsula" (Godthåb "Good hope")
Nyama ya kulungu aktikiReindeer meat
Nyumba za kawaida za KigrindlandiCommon Greenlandic homes
Ore 25 (Senti 50 za Kigrinlandi)25 øre
Ore 50 (Senti 50 za Kigrinlandi)50 øre
Ore za KideniDanish øre
Pesa ya zamani ya GrinlandiGreenland's old currency
PombeLiquor
Pombe kaliHard liquor
Pombe tamuLiqueur
Suasati (Supu ya Kigrinlandi)Suaasat (Greenlandic soup)
Sweta iliyofumwaKnit sweater

Thursday, June 16, 2011

Lugha ya Kiisilandi (The Icelandic Language)

Kiisilandi (Icelandic)
Isilandi (Iceland)
Mwisilandi (Icelander; a person from Iceland)
Waisilandi (Icelanders; people from Iceland)
Ágúst Agosti
Álft (Svanur) Bata-maji
Api Kima (Tumbiri)
Appelśinugulur Machungwa
Apríl Aprili
Armur Mkono
Asni Punda
Átta Nane
Áttatíu Themanini
Auga Jicho
Bæ. Kwaheri.
Barn Mtoto
Bavían Nyani
Belti Mkanda
Bifur (Bjór) Biva
Bíll Gari
Björn Dubu
Blár Buluu
Bleikur Pinki
Bless. Kwaheri.
Borð Meza
Brauð Mkate
Breiðnefur Kinyamadege
Brúnn Kahawia
Buxur Suruali
Býfluga Nyuki
Desember Desemba
Ég heiti Jóhann. Ninaitwa Yohana.
Ég segi allt gott. Mimi mzima.
Einn Moja
Ekkert að þakka. Karibu.
Eldur Moto
Elgur Elki
Eyra Sikio
Febrúar Februari
Fiðrildi Kipepeo
Fíll Ndovu (Tembo)
Fimm Tano
Fimmtíu Hamsini
Fimmtudagur Alhamisi
Fiskur Samaki
Fjall Mlima
Fjallaljón Puma
Fjólublár Zambarau
Fjórir Nne
Fjörutíu Arobaini
Flamingófugl Flamingo (Heroe)
Flódhestur Kiboko
Flugvél Ndege (Eropleni)
Föstudagur Ijumaa
Fótur Mguu
Fótur Mguu (Kiing: Foot)
Froskur Chura
Fugl Ndege
Gæs Bata bukini
Gaupa Linksi
Geit Mbuzi
Gíraffi Twiga
Góða nótt. Usiku mwema.
Góðan daginn. Habari za asubuhi?
Góðan daginn. Habari za mchana?
Gott kvöld. Habari za jioni?
Grænn Kijani
Grár Kijivu
Greifingjahár Melesi
Gulur Manjano
Hæ. Jambo.
Háhyrningur Orka
Hákarl Papa
Halló. Hujambo?
Hanski Glavu
Hattur Kofia
Haust Majira ya mavuno
Heimskautarefur (Fjallarefur) Mbweha mweupe
Héra Sungura
Hestur Farasi
Hjartardýr Kulungu
Hlébarð Chui
Hníf Kisu
Höfuð Kichwa
Hönd Kiganja
Hreindýr Kulungu aktiki
Hundrað Mia moja
Hundur Mbwa
Hús Nyumba
Hvað heitirðu? Unaitwaje?
Hvað segirðu gott? Habari gani?
Hvalur Nyangumi
Hvítur Nyeupe
Íkorna Kindi
Ís Barafu
Ísbjörn Dubu barafu
Já (Jú) Ndiyo
Jakka Jaketi
Janúar Januari
Jarfi (Fjallfress) Wolverini
Jörðin Dunia
Júlí Julai
Júní Juni
Júpíter Mshtarii
Kaffi Kahawa
Kalkúnn Batamzinga
Kanína Kitungule
Kengúra Kangaruu
Kjúklingur Kuku
Klukkan er níu að morgni. Asubuhi
Klukkan er sex um kvöld. Jioni
Klukkan er þrjú að hádegi. Mchana
Klukkan er tólf um nótt. Usiku
Kolkrabba Pweza
Komdu sæll. Nimefurahi kukutana nawe.
Kona Mwanamke
Könguló Buibui
Köttur Paka
Kráka Kunguru
Krókódíll Mamba (Ngwena)
Kýr Ng'ombe
Laugardagur Jumamosi
Lax Samoni
Leðurblaka Popo
Leigubíll Taksi
Lest Gari la moshi (Garimoshi)
Letidýr Slothu
Lítill  -Dogo
Ljón Simba
Ljósblár Samawati
Maður Mwanamume
Maí Mei
Mánudagur Jumatatu
Marglytta Yavuyavu
Mars Machi
Mars (Þrekstjarna) Mirihi
Mauraætur Mla-sisimizi
Merkúríus (Merkúr) Zebaki
Miðvikudagur Jumatano
Mjaldur Beluga
Mördgæs Pingwini
Munnur Kinywa
Mús Kipanya
Náhvalur Narwali
Nashyrningur Kifaru
Nef Pua
Nei Hapana
Neptúnus Neptuni
Níu Tisa
Níutíu Tisini
Nóvember Novemba
Núll Sifuri
Október Oktoba
Önd Bata
Ostur Jibini
Páfugl Tausi
Peysu Sweta
Plútó Pluto
Pokarott Oposumu
Rauður Nyekundu
Refur Mbweha mwekundu
Rigning Mvua
Rostungur Walarasi
Rúm Kitanda
Satúrnus Zohali
Sauðnaut (Moskusnaut / Desuxi) Maksaimaski
Sauður Kondoo
Sebrahestur Punda-milia
Selur Sili
September Septemba
Sex Sita
Sextíu Sitini
Sjö Saba
Sjötíu Sabini
Skjaldbaka Kobe
Skúnkur Kicheche
Ský Wingu
Smjör Siagi
Snákur Nyoka
Snjór Theluji
Sofðu vel. Lala salama.
Sól (Sunna) Jua
Stelpa Msichana
Stígvél Buti
Stól Kiti
Stór  -Kubwa
Strákur Mvulana
Strútur Mbuni
Sumar Majira ya joto
Sunnudagur Jumapili
Svartur Nyeusi
Svín Nguruwe
Sykur Sukari
Takk. Asante.
Te Chai
Þriðjudagur Jumanne
Þrír Tatu
Þrjátíu Thelathini
Tígrisdýr Chui-milia
Tíu Kumi
Tré Mti
Tunglið (Máninn) Mwezi
Tuttugu Ishirini
Tveir Mbili
Úlfaldi Ngamia
Úlfur Mbwa-mwitu
Ungabarn Mtoto mchanga
Úranus Uranasi
Vatn Maji
Venus Zuhura
Vetur Majira ya baridi
Vín Divai (Mvinyo)
Vindur Upepo
Vor Majira ya machipuko

Nungunungu

Fisi

Mto

Korongo

Kongoti

Wednesday, June 15, 2011

Mapandikizi ya Gesi (The Gas Giants)


Pandikizi la gesi (Gas giant)

MshtariiJupiter
NeptuniNeptune
UranasiUranus
ZohaliSaturn