Saturday, June 18, 2011

Nchi ya Grinlandi (The Country of Greenland)



Grinlandi (Greenland)
Mgrinlandi; Wagrinlandi (Greenlander; Greenlanders)

Kigrinlandi (Greenlandic) ni lugha ya Kieskimo-Kialeuti izungumzwayo na watu takriban 57,000 wa Grinlandini na Udenini.
Nuuki (Kigrin.: Nuuk, "rasi") ni mji mkuu wa Grinlandi na pia huitwa Godthåb "matumaini mema" kwa Kideni.
Kahawa ya Kigrinlandi ni kokteli ya kileo itengenezwayo kwa kahawa ya moto, wiski, Kahlúa (pombe tamu ya kahawa), Grand Marnier (brandi ya Kifaransa yenye ladha ya danzi) na malai yaliyopigwa.
Suasati (Kigrin.: Suaasat) ni chakula cha taifa cha Grinlandi. Ni supu ya Kigrinlandi itengenezwayo kwa vitunguu, viazi, mchele, jani la mbei na nyama ya sili (nyangumi, kulungu aktiki au ndege-bahari).
Mukluki ni aina ya buti laini litengenezwalo kwa ngozi ya kulungu aktiki au sili na livaliwalo na wananchi wa asili ya Aktiki, kama Waeskimo.

Aappalaartoq "Nyekundu"Aappalaartoq "The red"
Anjelika (aina ya kiungo)Angelica (a type of spice)
BarafutoGlacier
Bendera ya GrinlandiThe flag of Greenland
Bia ya KigrinlandiGreenlandic ale
Dubu barafuPolar bear
Erfalasorput "Bendera yetu"Erfalasorput "Our flag"
Fedha za zamani za GrinlandiOld Greenlandic currency
Fedha zinazotumikaCurrent currency
Hifadhi ya Taifa ya GrinlandiNortheast Greenland National Park
Kahawa ya KigrinlandiGreenlandic coffee
Kaplini (aina ya samoni)Capelin (type of salmon)
KideniDanish
KigrinlandiGreenlandic
KileoAlcohol
Beri-kunguru (aina ya buluuberi)Crowberries (type of blueberry)
Krona 5 (Shilingi 5 za Kigrinlandi)5 kroner
Krona za KideniDanish kroner
Lugha za GrinlandiThe languages of Greenland
Manispaa ya KatiQeqqata
Manispaa ya KusiniKujalleq
Manispaa yenye Barafu Nyingi KabisaSermersooq
Manispaa yenye Giza ya NchaQaasuitsup
Mgrinlandi wa kikeFemale Greenlander
Mgrinlandi wa kiumeMale Greenlander
Mukluki (Mabuti ya Kigrinlandi)Mukluks (Greenlandic boots)
Nembo ya GrinlandiGreenlandic coat of arms
Nguo za mapokeo za KigrinlandiTraditional Greenlandic attire
Nuuki (mji mkuu wa Grinlandi)Nuuk "Peninsula" (Godthåb "Good hope")
Nyama ya kulungu aktikiReindeer meat
Nyumba za kawaida za KigrindlandiCommon Greenlandic homes
Ore 25 (Senti 50 za Kigrinlandi)25 øre
Ore 50 (Senti 50 za Kigrinlandi)50 øre
Ore za KideniDanish øre
Pesa ya zamani ya GrinlandiGreenland's old currency
PombeLiquor
Pombe kaliHard liquor
Pombe tamuLiqueur
Suasati (Supu ya Kigrinlandi)Suaasat (Greenlandic soup)
Sweta iliyofumwaKnit sweater

No comments:

Post a Comment