Tuesday, March 4, 2014

Popobawa (The Popobawa)

Popobawa (Popobawa)
Asili ya popobawa ilianza baada ya shehe Muunguja mwenye hasira kutoa jini ili kulipiza kisasi kwa majirani wake, lakini alipoteza mamlaka ya jini ambalo lilichukua mwenendo wa kishetani. Jini hilo lililokosa mwelekeo likabadilika kuwa dubwana mwenye jicho moja na sura ya kutisha sana na mabawa kama ya popo na dhakari kubwa sana. Popobawa anasemekana kuwa tafsiri ya Kiswahili ya inkubu na ni kibadilisha-umbo kinachoweza kugeuka na kuwa binadamu kamili au umbo la popo. Popobawa hutembelea makazi usiku. Uwepo wake huangazwa na sauti ya kucha zinazokwaruza paa na harufu kali ya salfa. Popobawa hushambulia mabasha wa kiume vitandani mwao wanapolala na kuwalawiti hadi saa moja huku wamefinyilia uso wao sakafuni.Wahasiriwa hutishwa kwa mashambulizi marefu zaidi na ya kurudiwarudiwa iwapo hawataeleza marafiki na majirani wao kuhusu tajiriba yao.

The origin of the popobawa began after an angry Zanzibari sheikh released a genie in order to take vengeance on his neighbours, but lost control of the genie who took to demonic ways. This wayward genie transformed into a hideous one-eyed monster with bat-like wings and an enormous phallus. Popobawa is said to be the Swahili version of an incubus and is a shapeshifter capable of metamorphosing into complete human or bat form. Popobawa typically visits homes at night. Its presence is usually announced by the sound of scraping claws on the roof and pungent sulfurous odor. Popobawa primarily attacks homosexual men in their own beds while they sleep and sodomize them for up to an hour, holding their face to the floor. The victims are threatened with repeated, and much longer attacks if they do not tell their friends and neighbours about their experience.