Wednesday, June 15, 2011

Muundo wa Uranasi (The Structure of Uranus)


Muundo wa Uranasi (The structure of Uranasi)
Uranasi (pia hujulikana kama Zohali na Sarteni) ni sayari ya saba kutoka Jua letu. Kwa Kiingereza sayari hii ilipewa jina la mungu wa mbingu Uranasi (Kiing: Uranus; Kigir: Ουρανός "Ouranós").

AmoniaAmmonia
AngahewaAtmosphere
Barafu ya methaniMethane ice
Chuma-nikeliNickel-iron
Gesi ya methaniMethane gas
HeliHelium
HidrojeniHydrogen
Kiini cha mwambaRocky core
KotiMantle
MajiWater
MajiraSeason
Majira ya baridiWinter
Majira ya jotoSummer
Ncha ya kaskaziniNorth pole
Ncha ya kusiniSouth pole
PeteoRing
SilikatiSilicate
UranasiUranus

No comments:

Post a Comment