Monday, August 25, 2014

Baharia Mshtarii (Sailor Jupiter)

Baharia Mshtarii (Sailor Jupiter)

Baharia Mshtarii ni msichana mwenye tabia ya kiume na kimwili ni mwenye nguvu zaidi ya Skauti-Walinzi wote aliye na uwezo kuinua mwanaume mzima juu ya kichwa chake hata akiwa anateleza kwenye barafu. Somo analopenda zaidi ni sayansi kimu na ile asilopenda sana ni fizikia. Baada ya kuingia shule ya upili, alijiunga na klabu ya upishi na kilimo cha bustani. Vyakula anavyopenda zaidi ni boflo ya nyama na pai ya cheri.

Sailor Jupiter is a tomboy and physically the strongest of the Guardian Scouts, able to lift a full-grown man above her head even while ice-skating. Her favorite subject is home economics and her least favorite is physics. After entering high school, she joined the cooking and gardening clubs. Her favorite foods are meatloaf and cherry pie.


Ngurumo Kuu (Supreme Thunder)
Ufito wa radi hujinyosha juu kutoka kwa tiara yake anapoita radi. 

A lightning rod extends upwards from her tiara when she summons lightning. 


Dragoni Mkuu wa Ngurumo (Supreme Thunder Dragon)
Wakati kalamu ya mabadiliko ilipopandishwa daraja na kuwa fimbo ya uwezo wa kinyota, alipata shambulizi liitwalo Dragoni Mkuu wa Ngurumo (shambulizi ambapo yeye hutupa mishale ya umeme yenye umbo ya dragoni kuwaua maadui zake kwa umeme).

When her transformation pen upgraded to the star-power stick, she gained the attacks named “Supreme Thunder Dragon” (an attack in which she sends out bolts of electricity in the shape of a dragon to electrocute her enemies).


Shinikizo Pana la Kumetameta (Sparkling Wide Pressure)
Baada ya umeme unaotakikana umekusanyika kwenye tiara yake, yeye hutupa risasi ya umeme kutoka kwa mikono yake kuelekea kwa adui yake.

After all the necessary electricity has accumulated in her tiara, she throws a ball of electricity from her hands towards her opponent.

No comments:

Post a Comment