Monday, August 25, 2014

Baharia Mirihi (Sailor Mars)

Baharia Mirihi (Sailor Mars)

Baharia Mirihi ni kijana na kasisi Mshinto wa kike katika Madhabahu ya Hikawa na hivyo ana nguvu fulani ambayo wenzake hawana; kwa mfano, ana uwezo wa kusoma moto na uwezo finyu wa kiakili. Rei ni mojawapo wa Skauti-Baharia ambaye ana uwezo wa kutumia nguvu maalum katika sura yake ya kiraia.  

Sailor Mars is a teenager and Shinto priestess at the Hikawa Shrine and as such has some powers her teammates do not; for example, she’s able to do fire readings and has limited psychic ability. Rei is one of the few Sailor Scouts who is able to use special powers in her civilian form.  

Mashambulio (Attacks)
Roho Ovu, Ondoka! (Evil Spirit, Begone!)
Ili kutakasa maadui zake kutokana na uovu, yeye huweka ofuda (karatasi ya kulinda) kwenye paji la mpinzani ili wasiweze kusonga kwa kusema,”Roho Ovu, Ondoka!”

To purify enemies of an evil influence, she places an ofuda (a ward paper) on an opponent’s forehead to immobilize them by saying, “Evil Spirits, Begone!”

Roho ya Moto (Fire Soul)
Shambulio lake la kwanza linaloitwa "Roho ya Moto!" (kwa Kiingereza: Mars Fire Ignite!; Kijapani: Fire Soul!).

Her first attack is called "Fire Soul!" (in English: Mars Fire Ignite!; Japanese: Fire Soul!).

Mandala Inayowaka Moto (Burning Mandala)
Ongezo lake la nguvu la kwanza lilimpa uwezo wa kuvurumisha mviringo ya moto kwa maadui wake.

Her first power-up gave her the ability to shoot rings of fire at her enemies.

No comments:

Post a Comment