Monday, August 25, 2014

Mpanda-farasi Mkosa-kichwa (Headless Horseman)

Mpanda-farasi Mkosa-kichwa (Headless horseman; lit.: Head-lacking horse-rider)

Mpanda-farasi mkosa-kichwa kwa kawaida huendesha gari linalovutwa na farasi akiwa amebeba kichwa chake mkononi mwake na anatwaa mjeledi uliotengezwa kutoka uti wa binadamu. Wakati mpanda-farasi mkosa-kichwa anapoacha kuendesha, kifo hutokea na njia ya pekee ya kuweza kumwogopesha ni kuvaa kifaa cha dhahabu au kurusha kimoja kwenye njia yake.

The headless horseman usually rides a horse-drawn carriage carrying his head under one arm and wielding a whip made from a human spine. When the headless horseman stops riding, a death occurs and the only way he can be frightened away is by wearing a gold object or casting one in his path.

No comments:

Post a Comment