Monday, August 25, 2014

Mizuka (Ghosts)

Mzuka (Ghost)

Mzuka ni roho iliyotenganishwa na mwili wa mtu aliyekufa katika umbo la kivuli au kufifia na hurudi mara kwa mara sehemu fulani, vitu au hata watu ambao walishirikiana nao maishani. Wao husawiriwa kama kuwako kutoonekana hadi kupenyeka nuru au kuonekana kwa shida kama kitita cha maumbo yasiyo na umbo wala sura maalum yanayoelea hewani kama vumbi ya kinyota. Jaribio la kusudi la kuwasiliana na roho hujulikana kama nekromantia, au katika uroho kama ukaimu kwa njia kupitia mkusanyiko wa kuwasiliana na pepo. 

A ghost is a disembodied spirit of a dead person in a shadowy or evanescent form and haunts particular locations, objects or even people they were associated with in life. They are depicted as an invisible to translucent presence or as barely visible wispy amorphous shapes floating in the air like astral dust. The deliberate attempt to contact spirits is known as necromancy, or in spiritism as mediumship through a séance.

No comments:

Post a Comment