Barakoa (Mask/s)
| Barakoa | Mask (covers nose and mouth) |
| Barakoa ya dhumna | Domino mask |
| Barakoa ya gesi | Gas mask |
| Barakoa ya hoki | Hockey mask |
| Barakoa ya Kivenisi | Venetian mask |
| Barakoa ya kupiga mbizi | Scuba mask |
| Barakoa ya kutia weko | Welding mask |
| Barakoa ya oksijeni | Oxygen mask |
| Barakoa ya skii | Ski mask |
| Barakoa ya upasuaji | Surgical mask |
| Kidoto | Blindfold |
| Kinyago | Mask (carved mask covering entire face) |
| Kipumulio | Respirator |
| Maskhara / Kifuniko | Mask (covers the eyes & forehead) |

Shukrani Kwa tafsiri maridhawa
ReplyDeleteHongera kwa tafusiri
ReplyDeletePongezi kwako...
ReplyDeleteTukienzi Kiswahili sanifu.ahsante
ReplyDeleteAhsante sana
ReplyDeletePongezi kwako, kazi nzuri
ReplyDeleteAsante sana
ReplyDelete