Friday, January 4, 2013

Inkubasi (Incubi)

Inkyubasi (Incubus / Incubi) 

Inkubasi, pia huitwa Jinamizi, ni shetani dume ambaye, kulingana na desturi kadha za kimitholojia na kihekaya, hulala juu ya wachapa-usingizi, hasa wanawake ili kuwabaka. Ni mwenzi wa kiume wa shetani anayejulikana zaidi aitwaye sukubu. Ingawa hadithi nyingi hueleza kuwa inkubasi ni mpenda-jinsiambili, nyingine hudokeza kuwa ni mheterojinsia na huona kumshambulia mhasiriwa wa kiume kuwa kwa kutopendeza au kudhuru. Desturi za dini hushikilia kuwa ngono ya kurudiwa na inkubasi au sukubu yaweza kusababisha upunguzi wa afya au hata kifo. Mojawapo ya matajo ya mwanzo ya inkubasi inatoka Mesopotomia katika Orodha ya Mfalme Msumeria karibu 2400 kabla ya Kristo, ambapo babake Gilgameshi anaorodheshwa kama inkubasi, aliyekuwa na uhusiano wa kimapenzi na wanawake usingizini (ili kuzaa mtoto).

An incubus, also called a Nightmare, is a male demon who, according to several mythological and legendary traditions, lies upon sleepers, especially women in order to rape them and bring them nightmares. It is the male counterpart of the more known demon called the succubus. Although many tales claim that the incubus is bisexual, others suggest that it is heterosexual and finds attacking a male victim to be unpleasant or harmful. Religious traditions hold that repeated sex with an incubus or succubus can cause a reduction of health or even death. One of the earliest mentions of an incubus comes from Mesopotamia in the Sumerian King List circa 2400 BC, where Gilgamesh's father is listed as an incubus, who had sexual relations with women in their sleep (in order to father a child).

mchapa-usingizi = sleeper
kubaka = to rape
mwenzi = counterpart
mpenda-jinsiambili = bisexual (person)
kudokeza = to suggest
mheterojinsia = heterosexual (person) 
mhasiriwa = victim
ya kutopendeza = unpleasant
ya kudhuru = harmful
ya kurudiwa = repetitive
upunguzi = reduction
tajo = mention
Msumeria = Sumerian (person)
kuorodheshwa = to be listed
uhusiano wa kimapenzi = sexual relations
usinigizini = in one's sleep
kuzaa mtoto = to bear/father/sire a child 

No comments:

Post a Comment