Saturday, January 5, 2013

Vichimbakazi (Fairies)

Kichimbakazi (Fairy)
Vichimbakazi (Fairies)

Kichimbakazi ni aina ya kizimwi cha kihekaya kutoka Ulimwengu Mwingine, ambacho kwa kawaida huelezwa kama kilicho cha kimetafizikia au kisicho cha dunia hii. Vichimbakazi kwa kawaida huelezwa kama binadamu vinavyoonyeshwa, lakini vina mabawa kama ya wadudu na huwa na nguvu za kichawi. Vichimbakazi vingi ni vidogo sana, vingine vidogo mno hata havionekani kwa jicho tupu, lakini baada ya karne kadha za kuzaana na binadamu, vichimbakazi vya kisasa vimekua na kutoshana na binadamu wa kawaida. Wataalamu wa mila za jadi ya mataifa ya Kiseltiki wamependekeza kuwa asili yao halisi ni katika jamii iliyoshindwa na iliyopelekwa mafichoni kwa kuwashambulia binadamu. Njia chache za kujilinda dhidi ya vichimbakazi ni kwa kutumia mtishamba wa Mtakatifu Yohana, klova yenye majani manne, chuma baridi (ambayo ni kama sumu kwao na huwa hawakaribii) au kuvaa nguo ndani nje.

A fairy is a type of legendary sprite from the Other World, who is generally described as metaphysical or supernatural. Fairies generally are described as human in appearance, but they have insectoid wings and have magical powers. Many fairies are very small, some are too some to even be seen with the naked eye, but after centuries of breeding with humans, modern fairies have grown to full human size. Folklorists of Celtic nations have proposed that their actual origin lies in a conquered race driven into hiding for attacking humans. A few ways of protecting oneself against fairies are by using St. John's wort, four-leaf clover, a cold iron (which is like poison to them and they will not go near it) or by wearing clothing inside out.

kimetafizikia = metaphysical
isiyo ya dunia hii = supernatural
wanavyoonyeshwa = as they are shown
kwa jicho tupu = with the naked eye
kadha = several
kuzaana na = to breed with
ya kisasa = modern
kukua = to grow
mtaalamu wa mila za jadi = folklorist
Kiseltiki = Celtic
kupendekeza = to propose
iliyoshindwa = conquered
kupelekwa mafichoni = to be sent into hiding
mtishamba wa Mtakatifu Yohana = St. John's wort
klova = clover
kukaribia = to get near
ndani nje = inside out  

No comments:

Post a Comment