Friday, January 4, 2013

Sukubasi (Succubi)

Sukubasi (Succubus / Succubi)

Sukubasi ni shetani jike ambalo hutokea kwa ndoto na huwa na umbo la mwanamke mrembo kijana ili aweze kutongoza wanaume, kwa kawaida kwa kufanya ngono nao; hata hivyo, umbo lake la kweli hudhihirisha ulemavu, kama vile: kucha zinazofanana na za ndege, pembe za kishetani au mkia wa joka. Neno hili linatokana na Kilatini cha Karibuni succubae “malaya” (kutoka succubare “kulala chini ya”).  Neno hili lilithibitishwa kwanza mwaka 1387. Kulingana na mafundisho ya Zohar, Lilithi alikuwa mke wa kwanza wa Adamu ambaye baadaye alikuwa sukubasi. Alimwacha Adamu na akakataa kurudi Bustani ya Edeni baada ya kujamiiana na malaika mkuu Samaeli. Inasemekana hilo tendo la kumwingilia sukubasi linafanana na kuingia pango la barafu. Pia kuna ripoti kwamba sukubasi wamewalazimisha wanaume warambe kuma yao ambayo hutiririka mkojo na giligili nyingine za kuchukiza. Sukubasi hivi karibuni wamekuwa maarufu katika utamaduni pendwa kwa juhudi za wahusika Morigani na Lilithi Aensland kutoka Wanyapaji wa Giza ambao pia ni sukubasi.

A succubus is a female demon that appears in dreams and has the shape of beautiful young woman so she may seduce men, usually through sexual intercourse; however, her true form reveals deformities, such as: bird-like claws, demonic horns or a serpentine tail. The word is derived from Late Latin succubae "strumpet" (from succubare "to lie under"). The word was first established in 1387. According to Zohar teachings, Lilith was Adam's first wife who later became a succubus. She left Adam and refused to return to the Garden of Eden after mating with the archangel Samael. It is said that the act of penetrating a succubus is similar to entering a cave of ice. There are also reports that succubi have forced men to lick their vaginas that drip with urine and other disgusting fluids. Succubi have recently become famous in pop culture thanks to Morrigan and Lilith Aensland from the Darkstalkers who are also succubi. 

shetani = demon
kutongoza = to seduce
ngono = sex
kudhihirisha = to reveal
ulemavu = deformity
kishetani = demonic
joka = serpent
malaya = slut
kuthibitishwa = to be established
kulingana na = according to
kukataa = to refuse
kuingilia = to penetrate
pango = cave
kulazimisha = to force
kuramba = to lick
kutiririka = to drip
mkojo = urine
ugiligili = fluid
ya kuchukiza = disgusting
maarufu = famous
utamaduni pendwa = pop culture
kunyapa = to stalk

No comments:

Post a Comment