kifuniko cha oksijeni (oxygen mask) ya miinuko ya juu (high-altitude) Kifuniko cha oksijeni huvaliwa na marubani wa miinuko ya juu, au hutumika katika utabibu wa kutoa oksijeni au nusukaputi. An oxygen mask is worn by high-altitude pilots, or used in medicine to deliver oxygen or anaesthetic.
No comments:
Post a Comment