Monday, August 25, 2014

Watu-Mbweha (Werewolves)

Mtu-Mbweha (Werewolf)
Watu-mbweha ni viumbe wenye sifa za binadamu wanaofanana na mbwa-mwitu ambao husumbuliwa na laikanthropia (uwezo wa kubadilisha umbo kuwa mbwa-mwitu). Mabadiliko haya kwa kawaida husababishwa na kuonekana kwa mwezi mzima. Njia ya pekee ya kuwa mtu-mbweha ni kwa kuumwa na mtu-mbweha mwingine (na kunusurika shambulizi) au kuwekwa chini ya laana (kwa kawaida na mzururaji).

Werewolves are anthropomorphic wolf-like creatures who suffer from lycanthropy (the ability to shapeshift into a wolf). This transformation is generally caused by the appearance of a full moon. The only way to become a werewolf is either to be bitten by another werewolf (and survive the attack) or to be put under a curse (usually by a gypsy).


No comments:

Post a Comment