Jinamizi (Mare)
Jinamizi la usiku (Nightmare)
Jinamizi au jinamizi la usiku ni kishetani kidogo kiovu katika hadithi za Kijerumaniki ambao hupanda vifua vya watu wanaolala na kuwaletea ndoto mbaya. Jinamizi limeshuhudiwa mapema kuanzia karne ya kumi na tatu katika ngano ya Kinorsi ya Yngling. Jinamizi linafanana na inkubu na sukubu ya visasili, na kuna uwezekano wa kuvutiwa na kiharusi cha usingizini. Majinamizi pia yanaaminika kupanda farasi ambao huwaacha wamechoka na kufunikwa na jasho kufikia asubuhi. Linaweza pia kuzongomeza nywele ya mtu au hayawani anayelala na kusababisha msokoto wa farasi-jike na pengine inaeleza tukio la msuko wa Kipolandi, ugonjwa wa nywele.
Mare, or
nightmare, is an evil imp in Germanic folklore which rides on sleeping people’s
chests, bringing on bad dreams. The mare is attested as early as the 13th
century in the Norse Yngling saga. The mare is similar to the mythical incubus
and succubus, and was likely inspired by sleep paralysis. The mares were also
believed to ride horses, which left them exhausted and covered in sweat by the
morning. It could also entangle the hair of the sleeping person or beast,
resulting in mare-braids and probably the explanation to the Polish plait
phenomenon, a hair disease.
No comments:
Post a Comment