Baharia Mwezi (Sailor Moon)
Sailor Moon is the protagonist of the Sailor Moon
series. Her civilian identity is Usagi. She was the second soldier to be
awakened by the moon cats, and was the only character to appear in every episode of the series.
Over the course of the series, she grew from a careless schoolgirl and
crybaby into a brave fighter of love and justice. Her powers are first awakened
when a talking cat named Luna, who serves as the mentor archetype for Usagi, gives her a magical brooch which enables her to transform into Sailor Moon by saying a transformational command,
“By the power of the lunar prism, transform me!”
Baharia Mwezi ni mhusika mkuu katika mfululizo safu
ya Baharia Mwezi. Kitambulisho chake cha uraia ni Usagi. Alikuwa askari
wa pili kuamushwa na paka wa mwezi, na mhusika wa pekee kujitokeza katika kila sehemu
ya mfululizo safu. Katika harakati za mfululizo safu, alikua
kutoka msichana wa shule mzembe na mlilia na kuwa mpiganaji jasiri wa upendo na haki. Nguvu zake zinaamushwa mara ya kwanza wakati paka anayeongea aitwaye Luna,
anayehudumu kama mshauri chapasili wa Usagi, anapompa bruchi
ya kichawi inayomwezesha kubadilika kuwa Baharia Mwezi kwa kusema amri ya kubadilisha, “Kwa nguvu
za mche wa mwezi, nibadilishe mimi!”
Mashambulio (Attacks)
Tiara ya Mwezi (Moon Tiara)
Shambulio lake la kwanza linaloitwa "Tiara ya Mwezi!" (kwa Kiingereza: Moon Tiara Magic!; Kijapani: Moon Tiara Action!). Ili kuangamiza maadui, Baharia Mwezi hutupa taji lake ambalo husokota haraka sana, hivi kwamba huwa kisahani kinachopuruka sawa na frizbi. Kwa kugusana na kisahani, adui hugeuka kuwa vumbi ya kinyota.
Her first attack is called "Moon Tiara!" (in English: Moon Tiara Magic!; Japanese: Moon Tiara Action!). In order to destroy enemies, Sailor Moon throws her tiara that spins so fast it becomes a flying disc similar to a frisbee. On contact with the disc the enemy turns to stardust.
No comments:
Post a Comment