Monday, August 25, 2014

Wanyonya-damu (Vampires)

Mnyonya-damu (Vampire)

Wanyonya-damu ni viumbe ambao hujikimu kwa kunyonya damu ya viumbe wanaoishi. Wanyonya-damu huwa na chonge na wanaweza tu kuuawa kwa kuweka wazi kwenye mwanga wa jua au kigingi cha mbao kupitia moyo. Wao pia huchukia sana kitunguu-saumu.

Vampires are beings who subsist by feeding on the blood of living creatures. Vampires have fangs and can only be killed by exposure to sunlight or a wooden stake through the heart. They also really hate garlic.

1 comment:

  1. I know damu is "blood" but what does mnyonya mean exactly? "Drinker"?

    ReplyDelete