Mpanda-farasi Mkosa-kichwa (Headless horseman; lit.: Head-lacking horse-rider)
Mpanda-farasi mkosa-kichwa kwa kawaida huendesha gari linalovutwa na farasi akiwa amebeba kichwa chake mkononi mwake na anatwaa mjeledi uliotengezwa kutoka uti wa binadamu. Wakati mpanda-farasi mkosa-kichwa anapoacha kuendesha, kifo hutokea na njia ya pekee ya kuweza kumwogopesha ni kuvaa kifaa cha dhahabu au kurusha kimoja kwenye njia yake.
The headless horseman usually rides a horse-drawn
carriage carrying his head under one arm and wielding a whip made from a human
spine. When the headless horseman stops riding, a death occurs and the only way he can be
frightened away is by wearing a gold object or casting one in his path.
No comments:
Post a Comment