Monday, May 16, 2011

Vyeo vya Kifalme na Kisharifu


Vyeo vya kifalme na kisharifu (Royal and noble ranks)
Baronesi Baroness
Baronetesi Baronetess
Baroneti Baronet
Baroni Baron
Bibi Lady
Bintimfalme Princess
Bintimfalme mkuu Grand princess
Bintimfalme mrithi Crown princess
Boyari Boyar
Farao Pharaoh
Fimbo ya kifalme Royal scepter
Gavana Governor
Gavana wa kike Governess
Himaya ya mwanamfalme Principality
Kabaila Feudalist
Kauntesi Countess
Kaunti Count
Lodi Lord
Lodi wa kikabaila Feudal lord
Makamu mfalme Viceroy
Makamu mfalme wa kike Vicereine
Makamu wa kaunti Viscount
Makamu wa kike wa kaunti Viscountess
Makamu wa rais Vice-president
Malkia Queen
Malkia mkuu Empress
Markizi Marquess / Marquis
Markizi wa kike Marchioness / Marquise
Meya Mayor
Meya mwanamke Mayoress
Mfalme King
Mfalme mkuu Emperor
Milki Empire
Mpanda-farasi Knight
Mtawala Ruler
Mtemi Duke
Mtemi mkubwa Grand duke
Mtemi mkubwa wa kike Grand duchess
Mtemi mkuu Archduke
Mtemi mkuu wa kike Archduchess
Mtemi wa kike Duchess
Mwanamfalme Prince
Mwanamfalme mkuu Grand prince
Mwanamfalme mrithi Crown prince
Rais President
Sharifu Nobleman
Sultani Sultan
Taji Crown
Ubaroneti Baronetcy
Ubaroni Barony
Ufalme Kingdom
Ugavana Governorate
Ukabaila Feudalism
Ukaunti County (domain of a count)
Umeya Mayoralty
Usultani Sultanate
Utemi Duchy
Utemi Mkubwa Grandduchy
Utemi Mkuu Archduchy

No comments:

Post a Comment