Tuesday, May 10, 2011

Mfumo wa Jua (the Solar System)


Jua - Sun
Zebaki - Mercury
Zuhura - Venus
Dunia - Earth
Mirihi - Mars
Mshtarii - Jupiter
Zohali - Saturn
Uranasi - Uranus
Neptuni - Neptune
Pluto - Pluto

4 comments:

  1. Asante sana
    Ila ongeza maelezo zaidi

    ReplyDelete
  2. Sayari ya kwanza inaitwa Utaridi, si Zebaki.
    Zebaki ni metali (ing. mercury), lakini si sayari.
    MAbaharia Waswahili walijua jina la Utaridi tangu kale.
    Zebaki ni kosa lililoanzishwa wakati watu waliosahau majina asilia ya Kiswahili walijaribu kutafsiri kutoka Kiingereza!

    ReplyDelete
  3. Asante sana this will help me a lot.

    ReplyDelete