Tuesday, May 17, 2011

Aina za Viungo (Types of Spices)

Aina za viungo (Types of spices)
Kiungo (Spice)
mrihani; mrehani (basil)
majani ya mbei (bay leaves)
densi; dili (dill)
majorama (marjoram)
sage /seji/; aina ya mnanaa ulio majani yenye rangi ya kijani-kijivu (sage)
ufuta; uto; simsim (sesame)
basibasi (mace)
shamari (fennel)
kotimiri (parsley) 
taragoni (tarragon)
rosmeri; halwaridi (rosemary)
zaatari wa mwitu; majorama wa mwitu; majorama mtamu (oregano) 
zaatari wa kawaida; thaimu (thyme)


BizariCurry powder
DalasiniCinnamon
Haradali nyeupeWhite mustard
Haradali nyeusiBlack mustard
ManjanoTurmeric
IlikiCardamom
JiraCumin
KarafuuClove
KisibitiCaraway
KungumangaNutmeg
MasalaMasala
Mbegu za mpopiPoppy seeds
Pilipili iliyosagwaGround pepper
Pilipili kaliChili pepper
Pilipili mangaBlack pepper
Pilipili mbuziPaprika
Pilipili nyeupeWhite pepper
Pilipili ya JamaikaAllspice
Pilipili ya kijaniGreen pepper
Pilipili ya pinkiPink pepper
Pilipili zilizookwaDried chiles
Pilipili zilizopondwaCrushed chiles
Pilipili-halapenyoJalapeƱo pepper
ReteniJuniper berry
TangawiziGinger
UdahaCayenne pepper
Unga wa viungo vitanoFive spice powder
UwatuFenugreek
Viungo vya KikajuniCajun seasoning
ZafaraniSaffron

92 comments:

  1. Replies
    1. Tumia vilivyoandikwa tayari ah! Kwa nini unataka kuleta shida jamani?

      Delete
    2. May 13 2020 zipeleke stress zako kwingine iblisi wewe!

      Delete
    3. Majorama aniu,kuna pia majorama mwitu,hata ingawa swali lako limekawia sana hapa natumai nimekujibu

      Delete
    4. Star anse kwa kiswahili ni vinyota

      Delete
    5. Habari naomba utwambie majina ya viungo vya chai na vyachakula kiundani zaidi

      Delete
    6. Nice translations spices English to swahili language I like

      Delete
  2. "thyme" ni thaimu, na "oregano" ni oregano.

    ReplyDelete
    Replies
    1. This comment has been removed by the author.

      Delete
    2. What is the alternative of oregano? Suppose I don't have oregano and I need to use another spice instead.. Kiswahili siijui na sijui ni spice ipi hiyo.

      Delete
    3. oregano / thyme in swahili inaitwa Zaatar au zaatari

      Delete
  3. Asante .... this is very helpful!

    ReplyDelete
  4. Suburi translate in english plz

    ReplyDelete
    Replies
    1. Subur ni neno la kiarabu kwa kiswahili ni Mshubiri

      Delete
    2. Mimi nahitaji kujua bay leaves kwa Kiswahili

      Delete
  5. Oregano ni nini kwa kiswahili

    ReplyDelete
    Replies
    1. oregano / thyme in swahili inaitwa Zaatar au zaatari

      Delete
  6. Pandan leaves in Swahili please. Can't find the meaning.

    ReplyDelete
  7. This comment has been removed by the author.

    ReplyDelete
  8. Sorry, I meant Bizari tamu NOT Bizari mzima. I'm sorry for that!!

    ReplyDelete
  9. What is Tumeric in kiswahili and where can I find it?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Turmeric is manjano and if you are in Dar es Salaam you will easily find it in Kariakoo

      Delete
    2. Kariakoo sokoni in dar es salaam
      Marikiti in Nairobi....
      Looks like ginger but yellow :)

      Delete
    3. Tumeric in kiswahili inaitwa hawaji. You can find it in any local market or even most supermarkets.

      Delete
  10. Turmeric in Swahili is called kuwahi go to any local market

    ReplyDelete
  11. Turmeric in Swahili is called kuwahi go to any local market

    ReplyDelete
  12. Just asking there is different between MANJANO and BINZARI YA NJANO
    Please nisaidieni ku elewa.

    ReplyDelete
  13. What's Mint, lavender, vanilla in Swahili

    ReplyDelete
  14. What is star anis in swahili

    ReplyDelete
  15. Manjano na bizari ya njano c tofauti kwani bizari ya njano ndo inatokana na manjano

    ReplyDelete
  16. Manjano na bizari ya njano c tofauti kwani bizari ya njano ndo inatokana na manjano

    ReplyDelete
  17. Samahani hivi pilipili baridi ni ipi na ipoje?

    ReplyDelete
  18. Asanti na pongezi kwa kujuvisha majina tofauti ya viungo kwa Lugha ya Kiswahil.

    ReplyDelete
  19. Maana ya bay leaves kwa kiswahili na yanapatikana wapi

    ReplyDelete
  20. uziza seed what is it called in swahili

    ReplyDelete
  21. fennel seeds what is it called in swahili

    ReplyDelete
  22. Marjoram,sage na saltpetre zinafahamikaje/itwaje kwa kiswahili na zinapatikana wapi in dar es salaam pia pamoja na mbegu na powder za mustard natanguliza shukran asante sana

    ReplyDelete
  23. Marjoram,sage na saltpetre zinafahamikaje/itwaje kwa kiswahili na zinapatikana wapi in dar es salaam pia pamoja na mbegu na powder za mustard natanguliza shukran asante sana

    ReplyDelete
  24. Thanks in detail, you help me a lot.

    ReplyDelete
  25. What is sage, dill, sesame and asafoetida in Swahili?

    ReplyDelete
    Replies
    1. Dill is yamani yamani, sesame is simsim and asafoetida ni mvuje

      Delete
    2. Sesame ni ufuta kwa kiswahili, mengineyo utajoju mdau.

      Delete
  26. Naomba nijuze garam ni nini kwa kiswahili?

    ReplyDelete
  27. Thanks,,, kwa kazi nzuri ya majina ya viungo in Swahili and English šŸ™

    ReplyDelete
  28. Chamomile na basil yaitwaje Kiswahili?

    ReplyDelete
  29. Bay leaf kwa kiswahili msaada apo plz

    ReplyDelete
  30. Asante kwa maelezo mema.sasa najua tumeric

    ReplyDelete
  31. Good job �� �� , Asante

    ReplyDelete
  32. Naomba Mnambie anise seed kwa lugha ya kiswahili

    ReplyDelete
    Replies
    1. Hata Mimi nataka nifahamu anise seed kwa kiswahili,na zinapatikana wapi?

      Delete
  33. Natafuta mchofua uchawi image yake na pili pili manga

    ReplyDelete
  34. Maisha yangu Maajabu yanashangaza ushuhuda, Jinsi nimepata kisanduku chenye nguvu sana ambacho sasa ni pesa yangu mara mbili kutoka mia hadi elfu ya pesa ndani ya masaa 24, na pia jinsi nimerudisha mpenzi wangu wa zamani, sababu kuu niliwasiliana na Dk Lomi kwa msaada mimi kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, basi ananisaidia ni nguvu kubwa ya kumrudisha mpenzi wangu wa zamani, na ananipenda na ananithamini sasa, basi mimi na Dr Lomi tukawa marafiki, baada ya mazungumzo kadhaa namuuliza ikiwa kuna njia anaweza kuniganga ili nipate pesa, hapo ndipo aliponiambia juu ya sanduku hili la uchawi, akaniambia kuna aina na saizi tofauti ya sanduku, aliniambia aina zote za sanduku, ningeweza kumudu ndogo tu ya sanduku, baada ya maombi muhimu anayofanya kwenye sanduku, ananipeleka kupitia huduma ya kujifungua, aliniambia niweke pesa ndani, niliweka ndani ya sanduku 100 euro baada ya masaa 24 nikagundua ilikuwa elfu 10 euro ndani, na nimekuwa nikitumia sanduku kwa miezi 7 sasa, mimi na mchumba wangu tunaishi maisha bora, ikiwa unahitaji b ack mpenzi wako au pesa spell wasiliana na Dr Lomi kwa barua pepe: lomiultimatetemple@gmail.com au WhatsApp namba +2349034287285 unaweza pia kumwandikia kupitia Jina la Mtumiaji la Snapchat: drlomi20 atakusaidia nje, asante kwa kusoma

    Kwaheri Gerd Ulrich

    ReplyDelete
    Replies
    1. Aki ukistaajabu ya mussa utayapa ya firaun Kwel page imeingiliwa watu tupo kwenye viungo ma tumeric ma binzar unatuletea kurudisha mapenz kwann usirudshe akil zako kwenye zimepotelea

      Delete
  35. what is allegator pepper in kiswahili

    ReplyDelete
  36. Hi. Star anise in swahili please. For those that knows.

    ReplyDelete
  37. Matumizi kwa ujumla tuna weka wapi na wapi

    ReplyDelete
  38. Carrom seed ni nini kwa kiswahili tafadhali msaada

    ReplyDelete
  39. Asanteni sana kwa kazi mzuri, mm nataka kujuwa majina haya..Manemane,Kuzbara,Haulinjani,Annie suni,Bunsaji..Kwa leo ni haya..

    ReplyDelete
  40. Sikuamini kuwa ningeweza kuungana tena na mpenzi wangu wa zamani, nilipatwa na kiwewe nikiwa nimesimama peke yangu bila mwili kusimama na mimi na kuwa nami, lakini nilipata bahati sana siku moja nilikutana na mchawi huyu wa hodari Dk. ASUBUHI, baada ya kumueleza hali yangu alifanya kila liwezekanalo kumuona mpenzi wangu anarudi kwangu, kweli baada ya kunifanyia uchawi mpenzi wangu wa zamani alirudi kwangu chini ya masaa 48, mpenzi wangu wa zamani alirudi akiniomba kuwa hatawahi. niache tena, miezi 3 baadaye tulioana na kuoana, ikiwa pia una hali sawa. Ana nguvu nyingi katika mambo yake;
    *penda uchawi
    * kama unataka ex wako nyuma
    * Acha talaka
    *kuvunja mawazo
    * huponya viharusi na magonjwa yote
    * uchawi wa ulinzi
    *Ugumba na matatizo ya ujauzito
    Wasiliana na Dk DAWN kwa barua pepe yake: dawnacuna314@gmail.com
    Whatsapp: +2349046229159

    ReplyDelete