Sunday, March 10, 2013

Kiangazi (Summer)

Kiangazi (Summer)
Msimu wa kiangazi (Season of summer)
Majira ya joto (Hot season)
Msimu wa ukavu (Dry season)
Solistasi ya kiangazi (Summer solstice)
Katikati ya kiangazi (Midsummer)
Mkesha wa Mtakatifu Yohana (St. John's Eve)

Kiangazi ni msimu wa ukavu, sawa na majira ya joto katika sehemu za wastani. Kiangazi ni ya fufutende zaidi ya misimu yote. Mchana huwa ndefu zaidi wakati wa solistasi ya kiangazi wakati katikati ya kiangazi (au miongoni mwa Wakristo kama Mkesha wa Mtakatifu Yohana) husherehekewa kwa heshima ya kuzaliwa kwa Yohana Mbatizaji.
 
"Kiangazi" is the dry season, exactly like summer in the temperates regions. Summer is warmest of the all the seasons. Days get longer on the summer solstice when midsummer (or among Christians as St. John's Eve) is celebrated in honor of John the Baptist's birth.

No comments:

Post a Comment