Sunday, March 10, 2013

Demani (Autumn)

Demani (Autumn)
Msimu wa demani (Season of autumn)
Majira ya mapukutiko (Season of shedding [leaves])
Majira ya kupukutika kwa majani (Season of the falling of leaves)
Majira ya mavuno (Harvest season)
Ikwinoksi ya demani (Autumnal equinox)

Demani ni mojawapo ya majira nne ya wastani. Demani huadimishwa na ikwinoksi ya demani ambayo ni mpito kutoka kiangazi hadi kipupwe, katikati ya Septemba (nusudunia ya kaskazini) au Machi (nusudunia ya kusini) wakati ambapo miti huanza kubadilisha rangi, majani hupukutika na mchana huwa fupi. Kama "autumn(neno la Kiingereza linalomaanisha "majira ya mapukutiko" au "majira ya mavuno") ya maeneo ya wastani, mazao makuu huvunwa wakati wa demani ambalo ni neno la wakati wa mwaka unaoanza Machi na kuendelea hadi katikati ya Juni. Vuli ni majira ya mvua nyepesi wakati upepo wa kaskazini hupoanza kuvuma na wakati mwingine hulinganishwa na autumn.
Autumn is one of the four temperate seasons. Autumn is marked by the autumnal equinox which is the transition from summer to winter, in mid-September (in the northern hemisphere) or March (in the southern hemisphere) when trees begin to change color, their leaves fall off and the days get shorter. Like autumn (a word meaning "the season of shedding [leaves]" or "harvest season") of the temperate zones, major crops are harvested in "demani", which is the Swahili word for the time of year that begins in March and lasts until mid-June. "Vuli" is the season of light rain when the north wind blows and is sometimes equated to autumn.

No comments:

Post a Comment