Hobgoblini (Hobgoblin / Hobgoblins)
Hobgoblins are friendly but troublesome goblins, sometimes called a "bogey". While brownies are more peaceful creatures, hobgoblins are pranksters and fond of practical jokes and have the ability to shape-shift. In The Lord of the Rings books, hobgoblins are a larger, stronger, smarter and more menacing form of goblin. In the Spider-Man comicbook series, the villain named Hobgoblin is an imitation of the Green Goblin, but with yellow skin and hooded in a yellow-orange cloak in contrast to his predecessor.
-a kirafiki (friendly)
-sumbufu (troublesome)
-tulivu (calm)
mfanya-mzaha (prankster)
kichekesho (joke)
-erevu (smart)
-a hatari (dangerous)
kitabu cha komiki (comicbook)
mhalifu (villain)
joho (cloak)
kifuniko (hood)
hitilafiana na (in contrast to)
Hobgoblini huwa
wa kirafiki lakini ni mazimwi
masumbufu,
wakati mwingine huitwa "bogi". Ilhali brauni huwa watulivu, hobgoblini huwa wafanya-mzaha
na hupenda vichekesho na huwa na uwezo wa kubadilisha umbo. Katika vitabu vya
Lodi wa Pete, hobgoblini huwa wakubwa zaidi, wenye nguvu zaidi, werevu zaidi na aina ya hatari
zaidi ya zimwi.
Katika vitabu cha komiki cha Mtu-Bui, mhalifu aitwaye
Hobgoblini ni mwigo wa Zimwi la Kijani, lakini na ngozi ya manjano na akivalia
joho lenye kifuniko cha manjano-machungwa hitilafiana na mtangulizi wake.
Hobgoblins are friendly but troublesome goblins, sometimes called a "bogey". While brownies are more peaceful creatures, hobgoblins are pranksters and fond of practical jokes and have the ability to shape-shift. In The Lord of the Rings books, hobgoblins are a larger, stronger, smarter and more menacing form of goblin. In the Spider-Man comicbook series, the villain named Hobgoblin is an imitation of the Green Goblin, but with yellow skin and hooded in a yellow-orange cloak in contrast to his predecessor.
-a kirafiki (friendly)
-sumbufu (troublesome)
-tulivu (calm)
mfanya-mzaha (prankster)
kichekesho (joke)
-erevu (smart)
-a hatari (dangerous)
kitabu cha komiki (comicbook)
mhalifu (villain)
joho (cloak)
kifuniko (hood)
hitilafiana na (in contrast to)
No comments:
Post a Comment