Sura ya mwezi (Moon phase)
| Kufifia kwa mwezi | Waning gibbous |
| Kufifia kwa mwezi mwandamo | Waning crescent |
| Kupevuka kwa mwezi | Waxing gibbous |
| Kupevuka kwa mwezi mwandamo | Waxing crescent |
| Mwezi mchanga | New moon |
| Mwezi mpevu | Full moon |
| Mwezi mwandamo | Crescent moon |
| Mwezi mwandamo wa mwisho | Old crescent |
| Mwezi ndani (Robo la mwisho) | Last quarter |
| Mwezi nje (Robo la kwanza) | First quarter |
| Nusu-mwezi | Half moon |

No comments:
Post a Comment