Kinyamadege (Duckbilled platypus) ni mamalia Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ya fisi-maji na mkia kama wa biva. Ni mmoja wa spishi mbili za mamalia atagaye mayai.
Manyoya ya kahawia | Brown fur |
Mdomo wa bata | Duckbill |
Miguu yenye utando kati ya vidole | Webbed feet |
Mwiba mwenye sumu | Venomous spike |
Nyufa ndogo za masikio | Tiny ear slits |
Tundu za pua ziwezazo kufungwa | Closeable nostrils |
No comments:
Post a Comment