Matunda yenye Kokwa na ya Nusufamilia ya Matofaa
Tunda lenye kokwa (Drupe)
Tunda la nusufamilia ya matofaa (Pome fruit)
| Aprikoti | Apricot |
| Cheri | Cherry |
| Fyulisi | Peach |
| Nektarini | Nectarine |
| Pea | Pear |
| Safarjali | Quince |
| Tende | Date |
| Tofaa | Apple |
| Zambarau | Plum |
| Zambarau ya Kijapani | Japanese plum |
Asante sana. Ingawa nililelewa Kenya, sizungumzi Kiswahili Hata kidogo na ninajifunza sasa. Nashukuru ujumbe huu.
ReplyDeleteHuzungumzi Kiswahili hata kidogo lakini umeandika Kiswahili kizuri hapo
Delete