Friday, February 16, 2018

Filamu ya Chui Mweusi

Baada ya kifo cha baba yake, Chui Mweusi anarudi nchini Wakanda, barani Afrika, na kuchukua kiti chake kama mfalme. Aliporudi adui mwenye nguvu, Chui Mweusi anapaswa kuokoa Wakanda na dunia. Mfalme huyu kijana anapaswa kuwakusanya washirika wake na nguvu yake kamili na kushinda adui zake ili akinge taifa lake.

After the death of his father, the Black Panther returns to Wakanda, Africa, to take his throne as king. When a powerful villain returns, the Black Panther must save Wakanda and the world. This young king must gather his allies and his full power to defeat his enemies to protect his nation.

No comments:

Post a Comment