Saturday, August 6, 2011

Oda ya Masokwe (Primates)

Oda ya masokwe (Primates)
Sokwe (Ape)
Sokwe mkubwa (Great ape)
Sokwe mdogo (Lesser ape)

BinadamuHuman
GiboniGibbon
KakuMacaque
KimaMonkey
KombaBushbaby
Komba bukini (Lemuri)Lemur
MandiriliMandrill
MbegaColobus
NgagiGorilla
NgedereVervet
NyaniBaboon
OrangutanguOrangutan
SokweApe
Sokwe mtuChimpanzee
TamariniTamarin

2 comments:

  1. Hii ni kazi nzuri mno! Hata hivyo, neno la jumla la kuwarejelea wanyama hao (nyani, makaku n.k) ni VIRADI si MAKAKU jinsi ulivyoandika. Utohozi wa'macaque' (ambaye ni mmojawapo wa viradi) ni 'makaku' na hamna mantiki kusema 'kaku'.

    ReplyDelete