Sunday, August 21, 2011

Maumbo ya Kijiometri (Geometric Shapes)

Umbo la kijiometri (Geometric shape)
Umbo (Shape)
Jiometri (Geometry)
-a Kijiometri (Geometric)

DuaraCircle
DuaradufuOval (Ellipse)
Hilali (Mwezi)Crescent
MoyoHeart
MrabaSquare
MsalabaCross
MsambambaRhombus (Diamond)
MshaleArrow
MstariLine
MstatiliRectangle
NusuduaraSemi-circle
NyotaStar
PembenaneOctagon
PembesitaHexagon
PembetanoPentagon
PembetatuTriangle
PeteRing
TengeTrapezoid

132 comments:

  1. Replies
    1. Cylinder is not mche bali mcheduara.

      Miche ipo mingi tuu..

      Miche ni yale maumbo yenye kumantain cross section hiyo crosssection inaweza kuwa duara(cylinder) au triangular au rectangular au pentagon or more..

      Mche ni prisms so the special prism with circular section is what we call cylinder.

      Meanwhile.. we have pyramids, circular pyramid(cone) triangular pyramid, rectangular pyramid and special pyramid with circular base is what we call a cone

      Delete
    2. Pembe kumi in english

      Delete
  2. Cone yaitwa Aje Kwa Kiswahili????

    ReplyDelete
  3. What is the name of a 90 degrees angle in Kiswahili

    ReplyDelete
  4. Mehe ni umbo gani?
    Tao ni umbo gani?

    ReplyDelete
  5. Kikembe Cha nyangumi?

    ReplyDelete
  6. another name of KISHADA in swahili

    ReplyDelete
  7. What about curved line in swahili

    ReplyDelete
  8. Na uru,mchinjo kati na kishada hiari

    ReplyDelete
  9. Kiguni pembe inscribed circle
    Kiguni duara circumscribed circle

    ReplyDelete
  10. Kuru ni umbo lipi

    ReplyDelete
  11. Kizio ni umbo lipi

    ReplyDelete
  12. thx for the help am doing homework

    ReplyDelete
  13. Kite shape in swahili

    ReplyDelete
  14. Umbo la mustari sulubu

    ReplyDelete
  15. Aina za maumbo ya ukumbi Ni zipi????

    ReplyDelete