Wednesday, September 7, 2011

Uchina (China)

Uchina (China)
Mchina (a Chinese person / Chinaman)
Wachina (Chinese people)
Kichina (Chinese)

Kiighuri au Kituruki cha Mashariki ni lugha inayosemwa katika wilaya ya Sinkiangi na Uighuri.
Uyghur or Eastern Turki is a language spoken in the Xinjiang province and Uyghuristan.

Wilaya za Uchina Provinces of China
Anhui (Ankingi-Hweichou) Ānhuī (Anqing-Huizhou)
Chekiangi (Mto wa Kiantangi) Zhejiang (Qiantang river)
Chungkingi (Maadhimisho ya Maradufu) Chongqing (Double celebration)
Fukieni (Fuchou-Kianchou) Fújiàn (Fuzhou-Jianzhou)
Gansu (Magharibi Ndefu) Gānsù (Long West)
Hainani (Kusini mwa bahari) Hǎinán (South of the sea)
Hebei (Kaskazini mwa mto) Héběi (North of the river)
Heilungkiangi (Mto wa joka mweusi) Hēilóngjiāng (Black dragon river)
Henani (Kusini mwa mto) Hénán (South of the river)
Hongu Kongu Hong Kong
Hubei (Kaskazini mwa ziwa) Húběi (North of the lake)
Hunani (Kusini mwa ziwa) Húnán (South of the lake)
Jilingi (Kando ya mto) Jílín (Along the river)
Kiangsi (Kiangnani ya Magharibi) Jiāngxī (Western Jiangnan)
Kiangsu (Kiangningi-Suchou) Jiāngsū (Jiangning-Suzhou)
Kinghai (Bahari ya Kijani) Qīnghǎi (Green sea)
Kwangsi (Eneo pana la Magharibi Guǎngxī (Western expanse)
Kwangtungu (Eneo pana la Mashariki) Guǎngdōng (Eastern expanse)
Kweichou (Wilaya ya Kwei) Guìzhōu (Gui prefecture)
Liaoningi (Liaoyangi-Ningyuani) Liáoníng (Liaoyang-Ningyuan)
Makau Macau
Mongolia ya Ndani Inner Mongolia
Ningsia (Sia ya Magharibi) Níngxià (Western Xia)
Pekingi Beijing
Shandongu (Mashariki ya milima) Shāndōng (East of the mountains)
Shanghai Shànghǎi
Shansi (Magharibi ya milima) Shānxī (West of mountains)
Shensi (Magharibi ya Shanchou) Shǎnxī (West of Shanzhou)
Sichwani (Mizingusho Minne ya Mito) Sìchuān (Four circuits of rivers)
Sinkiangi (Mpaka mpya) Xīnjiāng (New Frontier)
Tibeti Tibet
Tientsini Tiānjīn
Yunani (Kusini mwa Yunglingi) Yúnnán (South of Yungling)


Chakula cha Kichina Chinese food
Chau-meini (Tambi zilizokaangwa za Kichina) Chow mein (Chinese fried noodles)
Gyoza za Kichina (Maandazi ya nyama) Potstickers (Meat dumplings)
Keki ya mwezi Mooncake
Keki za boza-maji Water chestnut cakes
Kuku Kungu-Pao Kung Pao chicken
Nyama tamuchachu ya nguruwe Sweet and sour pork
Nyama ya bata ya Pekingi Peking duck
Vikuto vya mayai Egg rolls
Mantou (Vitobosha vilivyopikwa kwa mvuke) Mantou (Chinese steamed buns)
Wali iliyokaangwa Fried rice


Alama za Uchina Symbols of China
Bendera Nyekundu yenye Nyota Tano Five Star Red Flag
Bendera ya Kichina Chinese flag
Fedha zinazotumika za Uchina (Renminbi) Chinese currency (Renminbi)
Hanfu (Joho la hariri la Kichina) Hanfu (Chinese silk robe)
Joka la Kichina Chinese dragon
Kiao (wingi: Viao) Jiao
Kipao (Gauni la Kichina) Qípáo (Chinese dress)
Mpeonia Peony plant
Nembo ya Uchina Emblem of China
Panda mkubwa Giant panda
Peonia Peony flower
Sufii Mtibeti Tibetan monk
Wapanda-baiskeli Cyclists
Yuani Yuan


Mahali pa Uchina Places of China
Hekalu ya Mbingu Temple of Heaven
Jumba Potala Potala Palace
Nyumba za Kichina Chinese houses
Pekingi Beijing
Shanghai Shanghai
Tiananmeni (Lango la Amani ya Mbinguni) Tiananmen (Gate of Heavenly Peace)
Ukuta Mkuu wa Uchina Great Wall of China
Uwanja wa Tiananmeni Tiananmen Square


Lugha za Uchina Languages of China
Kichina sanifu (Kimandarini) Standard Chinese (Mandarin)
Kikantoni Cantonese
Kiingereza English
Kireno Portuguese
Kiighuri (Kituruki cha Mashariki) Uyghur (Eastern Turki)
Kitibeti Tibetan
Kimongolia Mongolian

No comments:

Post a Comment