Wednesday, June 15, 2011

Muundo wa Uranasi (The Structure of Uranus)


Muundo wa Uranasi (The structure of Uranasi)
Uranasi (pia hujulikana kama Zohali na Sarteni) ni sayari ya saba kutoka Jua letu. Kwa Kiingereza sayari hii ilipewa jina la mungu wa mbingu Uranasi (Kiing: Uranus; Kigir: Ουρανός "Ouranós").

AmoniaAmmonia
AngahewaAtmosphere
Barafu ya methaniMethane ice
Chuma-nikeliNickel-iron
Gesi ya methaniMethane gas
HeliHelium
HidrojeniHydrogen
Kiini cha mwambaRocky core
KotiMantle
MajiWater
MajiraSeason
Majira ya baridiWinter
Majira ya jotoSummer
Ncha ya kaskaziniNorth pole
Ncha ya kusiniSouth pole
PeteoRing
SilikatiSilicate
UranasiUranus

Muundo wa Neptuni (The Structure of Neptune)

Muundo wa Neptuni (The structure of Neptune)
Neptuni ni sayari ya nane kutoka Jua letu. Sayari hii ilipewa jina la mungu wa bahari anayeitwa Neptuni (Kiing: Neptune; Kilat: Neptunus).

AmoniaAmmonia
AngahewaAtmosphere
Barafu ya methaniMethane ice
Chuma-nikeliNickel-iron
Doa kubwa jeusiThe Great Dark Spot
Gesi ya methaniMethane gas
HeliHelium
HidrojeniHydrogen
Kiini cha mwambaRocky core
KotiMantle
MajiWater
Ncha ya kaskaziniNorth pole
Ncha ya kusiniSouth pole
PeteoRing
SilikatiSilicate

Tuesday, June 14, 2011

Sayari ya Mshtarii (The Planet Jupiter)

Sayari ya Mshtarii (The planet Jupiter)

AdrasteaAdrastea
AmaltheaAmalthea
ElaraElara
GanimidiGanymede
HimaliaHimalia
IoIo
KalistoCallisto
LedaLeda
LisitheaLysithea
MetisiMetis
MshtariiJupiter
ThebeThebe
ThemistoThemisto
YuropaEuropa

Sayari za Kidunia na Miezi yake (The Terrestrial Planets and their Moons)

Sayari ya kidunia (A terrestrial planet)

DeimoDeimos
Dunia (Ardhi)Earth
FoboPhobos
Mirihi (Meriki)Mars
MweziMoon
ZebakiMercury
Zuhura (Ng'andu)Venus

Sayari ya Neptuni (The Planet Neptune)


Sayari ya Neptuni (The planet Neptune)

NayadiNaiad
NeptuniNeptune
NereidiNereid
ProteuProteus
ThalasaThalassa
TritoniTriton

Sayari ya Uranasi (The Planet Uranus)


Sayari ya Uranasi (The planet Uranus)

ArieliAriel
MirandaMiranda
OberoniOberon
PakiPuck
StefanoStephano
TitaniaTitania
UmbrieliUmbriel
UranasiUranus

Monday, June 6, 2011

Wanyama kama Sungura na Wagugunaji (Lagomorpha & Rodentia)

Mnyama kama sungura (Lagomorph)
Mnyama mgugunaji (Rodent)

BivaBeaver
BukuHamster
FukoMole
KalunguyeyeHedgehog
KindiSquirrel
Kindi-miliaChipmunk
KipanyaMouse
KitunguleRabbit
NungubandiaGuinea pig
NungununguPorcupine
PanyaRat
Panyabuku-msituWoodchuck (Groundhog)
Panya-nyikaJerboa
SangeShrew
SunguraHare