Uranasi (pia hujulikana kama Zohali na Sarteni) ni sayari ya saba kutoka Jua letu. Kwa Kiingereza sayari hii ilipewa jina la mungu wa mbingu Uranasi (Kiing: Uranus; Kigir: Ουρανός "Ouranós").
Amonia | Ammonia |
Angahewa | Atmosphere |
Barafu ya methani | Methane ice |
Chuma-nikeli | Nickel-iron |
Gesi ya methani | Methane gas |
Heli | Helium |
Hidrojeni | Hydrogen |
Kiini cha mwamba | Rocky core |
Koti | Mantle |
Maji | Water |
Majira | Season |
Majira ya baridi | Winter |
Majira ya joto | Summer |
Ncha ya kaskazini | North pole |
Ncha ya kusini | South pole |
Peteo | Ring |
Silikati | Silicate |
Uranasi | Uranus |
No comments:
Post a Comment