Neptuni ni sayari ya nane kutoka Jua letu. Sayari hii ilipewa jina la mungu wa bahari anayeitwa Neptuni (Kiing: Neptune; Kilat: Neptunus).
Amonia | Ammonia |
Angahewa | Atmosphere |
Barafu ya methani | Methane ice |
Chuma-nikeli | Nickel-iron |
Doa kubwa jeusi | The Great Dark Spot |
Gesi ya methani | Methane gas |
Heli | Helium |
Hidrojeni | Hydrogen |
Kiini cha mwamba | Rocky core |
Koti | Mantle |
Maji | Water |
Ncha ya kaskazini | North pole |
Ncha ya kusini | South pole |
Peteo | Ring |
Silikati | Silicate |
No comments:
Post a Comment