Dubwana la Frankenstein (Frankenstein's monster)
Madubwana ya Frankenstein (Frankenstein's monsters)
Dubwana la Frankenstein ni kiumbe chenye sura ya kutisha kilicho na urefu wa futi 8, ngozi ya kijani, macho yanayong’aa, kichwa bapa, paji zito na elektrodi katika pande zote mbili za shingoni. Mwili wake ulishonwa pamoja kwa vipande vya maiti na mwumbaji wake Viktori, mwanafunzi wa tiba, na kiumbe chake kilichopata uhai kwa kutumia umeme wakati wa usiku mmoja wenye mvua wa Novemba mwishoni mwa karne ya kumi na nane huko Ujerumani.

Frankenstein's monster is a hideous 8-foot-tall creature with green skin, shining eyes, a flat head, a broad brow and electrodes in both sides of the neck. Its body was sewn together with pieces of corpses by his creator Victor, a medical student, and his creation was brought to life using electricity on a rainy November night in late eighteenth century Germany.
yenye sura ya kutisha = hideous
inayong'aa = shining
bapa = flat
elektrodi = electrode
kushonwa pamoja = to be sewn together
mwumbaji = creator
tiba = medicine
kupata uhai = to be brought to life
yenye mvua = rainy
karne = century
No comments:
Post a Comment