Aramoni | Chestnut |
Hazeli | Hazelnut |
Jozi | Walnut |
Karanga | Peanut |
Korosho | Cashew |
Kungu | Indian almond |
Lozi | Almond |
Makadamia | Macadamia |
Nazi | Coconut |
Njugu ya Brazili | Brazil nut |
Njugu ya mfune | Beech nut |
Njugu ya mginko | Ginkgo nut |
Njugu ya mkola | Cola nut |
Njugu ya msonobari | Pine nut |
Pekani Pista (njugu ya pistachio) |
Pecan Pistachio |
Siagi ya karanga | Peanut butter |
hello..
ReplyDeletejinsi gani naweza kununua online hivyo viungo vya pilau kwa sababu mimi niko canada
Sio bingo vya pilau hivyo
DeleteJe unahitaji? Ninaweza kukutumia kutoka Tanzania.
DeleteBadala ya neno fistiki (pistachio)neno bora ni pista ambalo lilikuwa likitumika Zanzibar wakati mabaharia kutoka Uajemi walipokuwa wakileta hizo pista pamoja na lozi kuuza.
ReplyDeletevizuri mnavyotafsiri hivi maana watu sasa wanafahamu vinaitwaje kwa lugha yao.hivyo inakuwa rahisi kuvielewa zaidi
ReplyDeleteKazi safi Ndugu Maliki. For all your Swahili and Other African languages translations feel free to also contact me on msonobari@gmail.com
ReplyDeleteWhat is bitter cola in swahili.
Deletewhat about tiger nuts
ReplyDeleteNahitaji walnuts nitazipata wadi?
ReplyDeleteNa mim nahitaji
DeleteCity Mall utapata nuts zote
DeleteHapo sijaiona njugu mawe.
ReplyDeleteNjugu mawe inaitwaje kwa kingereza.
Naomba msaada
Bambara nuts-Njugu mawe
DeleteTigernut inaitwaje kwa kiswahili??
ReplyDeleteAhsante kwa taaluma hii
ReplyDeleteNimefurahi kuona hii karatasi ya mtandaoni. Nitafurahi kuendelea kupata ujumbe kola mara.
ReplyDeleteKazi mzuri
DeleteAhsante sana. Kiswahili kitukuzwe
ReplyDeleteNaweza pata walnuts kwa Bei ya jumla?
ReplyDeleteWhere can I get bitter nuts in Tanzania?
ReplyDeleteNaomba kujua kiswahili cha walnut
ReplyDeletenahitaji kujuwa jina la swahili la bitter kola
ReplyDeleteemail kilimochakisas2"gmail.com, najihusisha na uuzaji wa njugu zote
ReplyDeletekilimochakisasa2@gmail.com
ReplyDeleteSjaweza kujua jina la bitter cola kwa Kiswahili. Ni vigumu kupata dawa hii ktk masoko ya Uswazi ya Bongo bila kujua Kiswahili chake.!
ReplyDeleteE Sawa
ReplyDeleteVanilla inapatikana hapa ,mbegu na utaratibu wote wa ulimaji +255743095524
ReplyDeletehabari yako ndugu yangu na asubuhi njema,samahani ndugu yangu hii vanilla kilimo chake nitaweza pata maelekezo kamili kwa ihsani yako na gharama za awali hadi kuvuna please?nitashukuru sana na pia waweza nitumia ima kwenye whatsapp au telegram zote namba hii:0784239393
Deletehabari yako ndugu yangu na asubuhi njema,samahani ndugu yangu hii vanilla kilimo chake nitaweza pata maelekezo kamili kwa ihsani yako na gharama za awali hadi kuvuna please?nitashukuru sana na pia waweza nitumia ima kwenye whatsapp au telegram zote namba hii:0784239393
Deletehabari yako ndugu yangu na asubuhi njema,samahani ndugu yangu hii vanilla kilimo chake nitaweza pata maelekezo kamili kwa ihsani yako na gharama za awali hadi kuvuna please?nitashukuru sana na pia waweza nitumia ima kwenye whatsapp au telegram zote namba hii:0784239393
Deletehabari yako ndugu yangu na asubuhi njema,samahani ndugu yangu hii vanilla kilimo chake nitaweza pata maelekezo kamili kwa ihsani yako na gharama za awali hadi kuvuna please?nitashukuru sana na pia waweza nitumia ima kwenye whatsapp au telegram zote namba hii:0784239393
DeleteMti karanga nuts zake zinaitwaje ( money plant)
DeleteJe!Tigernut unayo na kwa kiswahili tunaihitaje??
ReplyDeleteHello naitaji izo mbegu za jozi nitapata wapi nipo dar tanzania
ReplyDeleteNapenda kujua Bitter kola kwa kiswahili
ReplyDeleteUnajua zinapo patikana
DeleteBitter kola zinapitikana Tanzania
ReplyDeleteNjugu ya mkola inapatikana wap Tanzania
ReplyDeleteBitter kila ni nini jamani!!
ReplyDeleteWhich is the best peanut for a man,red or white njugu karanga
ReplyDeleteTupe maana ya "bitter cola" tafaduali kwa anayeijua kwa kiswahili atusaidie please.
ReplyDelete🙏
ReplyDelete