Grinlandi (Greenland)
Mgrinlandi; Wagrinlandi (Greenlander; Greenlanders)
Kigrinlandi (Greenlandic) ni lugha ya Kieskimo-Kialeuti izungumzwayo na watu takriban 57,000 wa Grinlandini na Udenini.
Nuuki (Kigrin.: Nuuk, "rasi") ni mji mkuu wa Grinlandi na pia huitwa
Godthåb "matumaini mema" kwa Kideni.
Kahawa ya Kigrinlandi ni kokteli ya kileo itengenezwayo kwa kahawa ya moto, wiski, Kahlúa (pombe tamu ya kahawa), Grand Marnier (brandi ya Kifaransa yenye ladha ya danzi) na malai yaliyopigwa.
Suasati (Kigrin.: Suaasat) ni chakula cha taifa cha Grinlandi. Ni supu ya Kigrinlandi itengenezwayo kwa vitunguu, viazi, mchele, jani la mbei na nyama ya sili (nyangumi, kulungu aktiki au ndege-bahari).
Mukluki ni aina ya buti laini litengenezwalo kwa ngozi ya kulungu aktiki au sili na livaliwalo na wananchi wa asili ya Aktiki, kama Waeskimo.
Aappalaartoq "Nyekundu" | Aappalaartoq "The red" |
Anjelika (aina ya kiungo) | Angelica (a type of spice) |
Barafuto | Glacier |
Bendera ya Grinlandi | The flag of Greenland |
Bia ya Kigrinlandi | Greenlandic ale |
Dubu barafu | Polar bear |
Erfalasorput "Bendera yetu" | Erfalasorput "Our flag" |
Fedha za zamani za Grinlandi | Old Greenlandic currency |
Fedha zinazotumika | Current currency |
Hifadhi ya Taifa ya Grinlandi | Northeast Greenland National Park |
Kahawa ya Kigrinlandi | Greenlandic coffee |
Kaplini (aina ya samoni) | Capelin (type of salmon) |
Kideni | Danish |
Kigrinlandi | Greenlandic |
Kileo | Alcohol |
Beri-kunguru (aina ya buluuberi) | Crowberries (type of blueberry) |
Krona 5 (Shilingi 5 za Kigrinlandi) | 5 kroner |
Krona za Kideni | Danish kroner |
Lugha za Grinlandi | The languages of Greenland |
Manispaa ya Kati | Qeqqata |
Manispaa ya Kusini | Kujalleq |
Manispaa yenye Barafu Nyingi Kabisa | Sermersooq |
Manispaa yenye Giza ya Ncha | Qaasuitsup |
Mgrinlandi wa kike | Female Greenlander |
Mgrinlandi wa kiume | Male Greenlander |
Mukluki (Mabuti ya Kigrinlandi) | Mukluks (Greenlandic boots) |
Nembo ya Grinlandi | Greenlandic coat of arms |
Nguo za mapokeo za Kigrinlandi | Traditional Greenlandic attire |
Nuuki (mji mkuu wa Grinlandi) | Nuuk "Peninsula" (Godthåb "Good hope") |
Nyama ya kulungu aktiki | Reindeer meat |
Nyumba za kawaida za Kigrindlandi | Common Greenlandic homes |
Ore 25 (Senti 50 za Kigrinlandi) | 25 øre |
Ore 50 (Senti 50 za Kigrinlandi) | 50 øre |
Ore za Kideni | Danish øre |
Pesa ya zamani ya Grinlandi | Greenland's old currency |
Pombe | Liquor |
Pombe kali | Hard liquor |
Pombe tamu | Liqueur |
Suasati (Supu ya Kigrinlandi) | Suaasat (Greenlandic soup) |
Sweta iliyofumwa | Knit sweater |