Elki au Muusi (pia huitwa Kongoni wa Kaskazini) ni mnyama mkubwa wa Nusudunia ya Kaskazini anayefanana na kongoni mwenye pembe zenye umbo la matawi na manyoya mengi.
| Kichwa kikubwa | Large head | 
| Makwato ya shufwa | Even-toed hooves | 
| Miguu mirefu ya mbele | Long forelegs | 
| Miguu mirefu ya nyuma | Long hindlegs | 
| Mkia mfupi | Short tail | 
| Nundu ya bega | Shoulder hump | 
| Pembe zenye umbo la matawi | Ramified antlers | 
| Pua inayoning'inia | Drooping muzzle | 
| Shambwelele | Dewlap | 

No comments:
Post a Comment