Showing posts with label Sanaa (Arts). Show all posts
Showing posts with label Sanaa (Arts). Show all posts

Sunday, May 15, 2011

Gurudumu la Rangi (Color Wheel)

Gurudumu la rangi (Color wheel)

BiringaniAubergine
BuluuBlue
Buluu nyeusiDark blue
Buluu-kijaniTeal (Blue-green)
DamuCrimson
DhahabuGold
FedhaSilver
FyulisiPeach
KahawiaBrown
KijaniGreen
Kijani nyeusiDark green
Kijani-manjanoChartreuse (Yellow-green)
KijivuGray
LimauLemon
MachungwaOrange
ManjanoYellow
Manjano-machungwaOchre (Yellow-orange)
NiliIndigo
NyekunduRed
Nyekundu-machungwaVermilion (Red-orange)
Nyekundu-zambarauMaroon (Red-violet)
NyeupeWhite
NyeusiBlack
PinkiPink
SamawatiSky blue
UrujuaniLilac
ZambarauPurple
ZumaridiEmerald

Saturday, May 14, 2011

Ala zenye Nyuzi (Stringed Instruments)


Ala zenye nyuzi (Stringed instruments)
Balalaika Balalaika
Banjo Banjo
Fidla (Vailini) Violin
Fidla ya besi Double bass
Gambusi Lute
Ganuni Zither
Gitaa Guitar
Gitaa la akostiki Acoustic guitar
Gitaa la besi Bass guitar
Gitaa la umeme Electric guitar
Kinubi Harp
Lairi Lyre
Mandolini Mandolin
Santuri Dulcimer
Selo Cello
Viola Viola
Zeze Zeze (African banjo)

Ala za Muziki za Kupuliza (Wind Instruments)


Ala za muziki za kupuliza (Wind instruments)

Baragumu la Kiingereza English horn
Basuni Bassoon
Filimbi Flute
Klarineti Clarinet
Mirija Panpipes
Pikolo Piccolo
Saksofoni Saxophone
Zumari Oboe