Showing posts with label Wanyama (Animals). Show all posts
Showing posts with label Wanyama (Animals). Show all posts

Tuesday, December 24, 2013

Wadudu na Araknida (Insects and Arachnids)


Mdudu / Wadudu (Insect / Insects)
Dudu / Madudu (Large bug / Large bugs; can be reserved in speech, exclusively to refer to beetles)
Araknida (Arachnid / Arachnids)
Buibui Spider
Bunzi / Mdudu-kibibi Ladybug / Ladybird
Buu Maggot / Larva
Chenene Mole cricket
Chungu Carpenter ant
Dondora Yellow jacket
Dundu Scavenger beetle
Funutu Locust nymph
Funza Chigger
Jongoo Millipede
Kereng'ende Dragonfly
Kifukofuko Cocoon
Kimetameta / Kimulimuli Firefly / Lightning bug / Glowworm
Kipepeo Butterfly
Kipukusa Weevil
Kiroboto Flea
Kivunjajungu Praying mantis
Kiwavi Caterpillar
Kombamwiko / Mende Cockroach
Kombamwiko-kibyongo / Mende-kibyongo Beetle
Kunguni Bedbug
Kupe (Papasi / Utitiri) Tick (Soft tick / Cattle tick)
Majimoto Fire ant
Mavu Hornet
Mbu Mosquito
Mbung'o / Ndorobo Tsetse fly
Mchwa Termite
Mnyoo Worm
Nge Scorpion
Nondo Moth
Nyenje Cricket
Nyigu Wasp
Nyuki Bee
Nyukibambi Bumblebee
Nzi Fly
Nzige Locust
Panzi Grasshopper
Parare Bird grasshopper
Siafu Safari ant
Sisimizi Black ant
Sururu Palm weevil
Tandu Centipede
Tekenya Sand flea / Jigger
Visubi Gnat

Monday, October 8, 2012

Wolverini (Wolverine)

Anatomia ya wolverini (The anatomy of a wolverine)
Wolverini (Wolverine)
Manyoya meupe kwenye kichwa na pande White fur on head and sides
Manyoya ya kahawia iliyokoza Dark-brown fur
Masikio madogo Small ears
Miguu yenye makucha Clawed feet
Mkia mwenye manyoya mengi Bushy tail

Monday, September 24, 2012

Mamalia wasio na meno (Edentata)

Mamalia wasio na meno (Edentata)
Mamalia asiye na meno (Toothless mammal)

Armadilo Armadillo
Kakakuona Pangolin
Mhanga Aardvark
Mla-sisimizi Anteater
Slothi Sloth
Tamandua Tamandua

Thursday, August 9, 2012

Mamalia wa Bahari (Marine Mammals)

Oda ya nyangumi (Cetacea)
Wanyama wenye miguu-mapezi (Pinnipedia)
Pinipedi (Pinniped)


Beluga Beluga
Narwali Narwhal
Nguva (Manatii) Dugong (Manatee)
Nyangumi buluu Blue whale
Nyangumi-kibyongo Humpback whale
Nyangumi-spemaseti Sperm whale
Orka (Nyangumi-muuaji) Orca (Killer whale)
Pomboo Dolphin
Poposi Porpoise
Sili Seal
Sili-manyoya Fur seal
Simba-bahari Sea lion
Tembo-bahari Elephant seal
Walarasi Walrus

Walarasi (Walrus)

Walarasi (pia huitwa Nguva Aktiki au Sili-pembeni mnyama mkubwa wa Bahari ya Aktiki anayefanana na nguva mwenye meno mawili marefu, pia yaitwa pembe, kama tembo.


Mapezi ya mbele
Front flippers
Ngozi
Skin
Pembe
Tusks
Shahamu
Blubber
Sharubu
Whiskers
Sikio
Ear
Tundu za pua
Nostrils
Vifuko vya hewa
Air sacs

Vifuko vya hewa - Vifuko vya hewa chini ya koo shingoni mwa walarasi, shingo lililo fupi na nene, vifuko hivyo vina uwezo wa kuvimba na hewa ili kumpa uwezo wa kuelea wima na kichwa chake juu ya maji. Pia vinatumiwa kama vyumba vya mvumo vinavyotoa sauti kama kengele chini ya maji.

Shahamu - Tabaka ya shahamu kubwa iliyo na upana wa hadi sentimita 15 inayomkinga kutoka kwa baridi.

Masikio - Masikio yao madogo yana kunyanzi ya ngozi nje yao ili kufanya vichwa vyao vinyooke ili waogelee vyema zaidi majini.

Mapezi ya mbele - Kinyume ya mapezi ya nyuma, haya ni marefu kama yaliyo mapana, lakini yana unene na gegedu na vidole vitano kama mapezi ya nyuma. Wanapoogelea, yanatumiwa mara kwa mara kupiga kasia katika mwendo ulio chini lakini mara nyingine hutumiwa kuelekeza.

Ngozi - Ngozi ni ya hudhurungi yenye kunyanzi inayoonekana kama inabadilisha rangi kulingana na halijoto, kwa sababu wakati anapohisi joto, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi huongezeka ili kumpoza. Tendo hili humpatia walarasi
sura nyekundunyekundu na huonekana kama ana madoadoa. Anapohisi baridi, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi hupunguzika, kumpatia sura ya kukwajuka.

Pembe - Zimeundwa na dentini, pembe za walarasi ni ndefu sana na ni meno yanayoendelea kukua. Hazitumiwi kuchimbia chakula lakini huwapea usaidizi mwingi wanapojikokota barafuni au ardhini. Pia zinatumiwa kuonyesha utawala na cheo.

Sharubu - Sharubu zao zilizo puani ni nene na zina hali ya juu ya kuhisi na husaidia wanapotafuta chakula.

Makazi ya Walarasi (The Habitat of the Walrus)

Makazi (The habitat)
Walarasi (Walrus)
Walarasi wa Pasifiki (The Pacific walrus)
Walarasi wa Laptevu (The Laptev walrus)
Walarasi wa Atlantiki (The Atlantic walrus)

Walarasi wa Pasifiki wanaishi Baharini mwa Beringi na Chukchi.

Walarasi wa Laptevu wanaishi Baharini mwa Laptevu.

Walarasi wa Atlantiki wanaishi maeneo ya Grinlandi na Kanada.

Thursday, January 19, 2012

Wanyama kama Paka (Feliformia)

Mnyama kama paka (Feliform)
Wanyama mbua wa Bukini (Eupleridae; Malagasy carnivorans)
Familia ya fisi (Hyaenidae)
Familia ya nguchiro (Herpestidae)
Familia ya fungo (Nandiniidae)
Familia ya ngawa (Viverridae)
Note: Felidae is also a part of the order Feliformia.

Binturongu Binturong
Fisi Hyena
Fisi ya nkole (Fisi mdogo) Aardwolf
Fosa Fossa
Fungo Palm civet
Kanu Genet
Kusimanse Kusimanse
Mirkati Meerkat
Ngawa Civet
Nguchiro Mongoose

Familia ya Lukungu (Trogonidae)

Familia ya lukungu (Trogonidae)

Kwetsali Quetzal
Lukungu Trogon

Monday, January 2, 2012

Familia ya Ng'ombe (Bovidae)

Familia ya ng'ombe (Bovidae)

Baisani Bison
Fahali Bull
Maksai Ox
Maksai aktiki Muskox
Ndama Calf
Ng'ombe Cow
Nyati Water buffalo
Nyati-maji African buffalo
Yaki Yak

Familia ya Nguruwe & Wanyama wenye Ngozi Ngumu (Suidae & Pachyderms)

Familia ya nguruwe (Suidae)
Mnyama mwenye ngozi ngumu (Pachyderm)

Jivi Wild boar
Kiboko Hippopotamus
Kifaru Rhinoceros
Ngiri Warthog
Nguruwe Pig
Tembo (Ndovu) Elephant

Wanyama kama Swala (Antelopine animals)

Mnyama kama swala (Antelopine animal)
Choroa Oryx
Kongoni Hartebeest
Mbarapi Sable antelope
Nyumbu Wildebeest
Paa Duiker
Palahala pembe-parafujo (Adaksi) Addax (Screwhorn antelope)
Swala Antelope

Thursday, September 29, 2011

Mamalia wa Kabla ya Historia (Prehistoric mammals)

Mamalia wa kabla ya historia (Prehistoric mammal)

Amfisionidi Amphicyonid
Andreasarko Andrewsarchus
Ansilotheriamu Ancylotherium
Arsinoitheriamu Arsinoitherium
Australopitheko Australopithecus
Brontotheri Brontothere
Chalikotheri Chalicothere
Deinotheriamu Deinotherium
Dinofelisi Dinofelis
Doedikurusi Doedicurus
Dorudoni Dorudon
Duma wa Amerika American cheetah
Entelodonti Entelodont
Hienodoni Hyaenodon
Indrikotheri Indricothere
Kifaru-manyoya Woolly rhinoceros
Leptiktidiamu Leptictidium
Makrauchenia Macrauchenia
Mamothi Mammoth
Mastodoni Mastodon
Megalosero (Elki mkubwa) Megaloceros (Giant elk)
Megatheriamu (Slothi mkubwa) Megatherium (Giant sloth)
Moiritheriamu Moeritherium
Odobenosetopsi (Nyangumi-nguva) Odobenocetops (Walrus-whale)
Propaleotheriamu Propalaeotherium
Simba wa Amerika American lion
Simba-marsupialia Marsupial lion
Smilodoni (Chui meno-kitara) Smilodon (Sabre-toothed tiger)

Tuesday, September 27, 2011

Dinosau (Dinosaurs)

Dinosau (Dinosaur)

Ankilosauri Ankylosaurus
Arkeopteriksi Archeopteryx
Brakiosauri Brachiosaurus
Dimetrodoni Dimetrodon
Dromeosauri Dromaeosaurus
Elasmosauri Elasmosaurus
Igwanodoni Iguanodon
Ikthiosauri Ichthyosaurus
Kompsognatho Compsognathus
Pakisefalosauri Pachycephalosaurus
Protoseratopsu Protoceratops
Spinosauri Spinosaurus
Stegasauri Stegasaurus
Stirakosauri Styracosaurus
Terosau Pterosaur
Tiranosauri Tyrannosaurus
Triseratopsu Triceratops
Velosiraptori Velociraptor

Wednesday, September 7, 2011

Marsupialia (Marsupials)



Bandikuti Bandicoot
Kangaruu Kangaroo
Kangaruu-miti Tree-kangaroo
Kangaruu-panya Rat-kangaroo
Koala Koala
Kwolu Quoll
Numbati Numbat
Oposumu Opossum
Shetani wa Tasmania Tasmanian devil
Simba-marsupialia Marsupial lion
Thilasini Thylacine
Walabi Wallaby
Wombati Wombat

Saturday, August 27, 2011

Ngeli ya Ndege (Aves)

Ngeli ya ndege (Aves)
Ngeli (Class)
Ndege (Bird)

AlbatrosiAlbatross
BataDuck
Bata bukiniGoose
Bata-majiSwan
BatamzingaTurkey
BuabuaTern
Bumu (Babewana)Barn owl
BundiOwl
ChirikuFinch
Chiriku manjanoGoldfinch
DodoDodo
EmuEmu
Flamingo (Heroe)Flamingo
JeiJay
JogooRooster
KadinaliCardinal
KakatuuCockatoo
KangaGuineafowl
KasukuParrot
KasuwariCassowary
KichelekoVulturine guineafowl
KifarangaChick
Kigong'otaWoodpecker
KiluwiluwiLapwing
KingoyoHeron
KinubiMagpie
KiwiKiwi
KizamiachazaOystercatcher
Kolibri (Ndege-mvumaji)Hummingbird
Kondori (Tumbusi wa Amerika)Condor
KongotiStork
KorongoCrane
KoziFalcon
Kuku (Koo)Chicken (Hen)
KunguruCrow (Raven)
KungwiEagle-owl (Great-horned owl)
KurumbizaRobin-chat
Kurumbiza wa UlayaNightingale
KwalePheasant
KwenziStarling
MbayuwayuSwallow
MbuniOstrich
MdiriaKingfisher
MkeshaThrush
Mkesha mwekunduRobin
MwariPelican
NjiwaPigeon
NyanduRhea (Nandu)
PengwiniPenguin
ShomoroSparrow
SikipiPartridge
TaiEagle
TausiPeacock
TelekaSwift
TomboQuail
TukaniToucan
TumbusiVulture
Yombeyombe wa UlayaBullfinch

Saturday, August 6, 2011

Oda ya Masokwe (Primates)

Oda ya masokwe (Primates)
Sokwe (Ape)
Sokwe mkubwa (Great ape)
Sokwe mdogo (Lesser ape)

BinadamuHuman
GiboniGibbon
KakuMacaque
KimaMonkey
KombaBushbaby
Komba bukini (Lemuri)Lemur
MandiriliMandrill
MbegaColobus
NgagiGorilla
NgedereVervet
NyaniBaboon
OrangutanguOrangutan
SokweApe
Sokwe mtuChimpanzee
TamariniTamarin

Monday, June 6, 2011

Wanyama kama Sungura na Wagugunaji (Lagomorpha & Rodentia)

Mnyama kama sungura (Lagomorph)
Mnyama mgugunaji (Rodent)

BivaBeaver
BukuHamster
FukoMole
KalunguyeyeHedgehog
KindiSquirrel
Kindi-miliaChipmunk
KipanyaMouse
KitunguleRabbit
NungubandiaGuinea pig
NungununguPorcupine
PanyaRat
Panyabuku-msituWoodchuck (Groundhog)
Panya-nyikaJerboa
SangeShrew
SunguraHare

Thursday, May 26, 2011

Nyangumi (Whale)

Nyangumi mwenye mfupanyangumi (Baleen whale)
Nusuoda ya nyangumi wakubwa (Mysticeti)

Bamba la kuzuia majiSplashguard
KitovuUmbilicus
KwapaAxilla
Mashimo ya kutolea hewaBlowholes
MfupanyangumiWhalebone (Baleen)
Mifuo ya kooThroat pleats
Mkato wa katiMedian notch
Mkia wa nyangumiFluke
MkunduAnus
Nundu za mgongoniDorsal ridge
Pezi la mgongoniDorsal fin
PuaRostrum
Shina la mkiaCaudal peduncle
Ufa wa ogani za uzazi na mkojoUrogenital slit
VikonoFlippers
ViweleMammary glands

Kinyamadege (Platypus)


Kinyamadege (Duckbilled platypus) ni mamalia Australia aliye na mdomo wa bata, miguu yenye utando kati vidole kama ya fisi-maji na mkia kama wa biva. Ni mmoja wa spishi mbili za mamalia atagaye mayai.

Manyoya ya kahawiaBrown fur
Mdomo wa bataDuckbill
Miguu yenye utando kati ya vidoleWebbed feet
Mwiba mwenye sumuVenomous spike
Nyufa ndogo za masikioTiny ear slits
Tundu za pua ziwezazo kufungwaCloseable nostrils