Monday, October 8, 2012
Mazimwi Wala-maiti (Ghouls)
Zimwi mla-maiti (Ghoul)
Mazimwi wala-maiti (Ghouls)
A ghoul is an evil
Mesopotamian monster associated with cemeteries, graveyards and consuming human
flesh, often classified as the undead. These creatures are thought to dwell in
burial grounds and other uninhabited places.
mla-maiti (man-eating)
dubwana (monster)
mava (pl.; cemetery)
uwanja wa makaburi (graveyard)
mfu hai (living dead)
Mazimwi wala-maiti (Ghouls)
Zimwi mla-maiti ni dubwana ovu la Mesopotamia linalohusishwa
na mava, nyanja za makaburi na kula miwili ya binadamu, mara nyingi
likiorodheshwa kama wafu hai. Viumbe hivi hufikiriwa kuishi makaburini na
sehemu zingine kusipokuwa watu.
mla-maiti (man-eating)
dubwana (monster)
mava (pl.; cemetery)
uwanja wa makaburi (graveyard)
mfu hai (living dead)
Hobgoblini (Hobgoblins)
Hobgoblini (Hobgoblin / Hobgoblins)
Hobgoblins are friendly but troublesome goblins, sometimes called a "bogey". While brownies are more peaceful creatures, hobgoblins are pranksters and fond of practical jokes and have the ability to shape-shift. In The Lord of the Rings books, hobgoblins are a larger, stronger, smarter and more menacing form of goblin. In the Spider-Man comicbook series, the villain named Hobgoblin is an imitation of the Green Goblin, but with yellow skin and hooded in a yellow-orange cloak in contrast to his predecessor.
-a kirafiki (friendly)
-sumbufu (troublesome)
-tulivu (calm)
mfanya-mzaha (prankster)
kichekesho (joke)
-erevu (smart)
-a hatari (dangerous)
kitabu cha komiki (comicbook)
mhalifu (villain)
joho (cloak)
kifuniko (hood)
hitilafiana na (in contrast to)
Hobgoblini huwa
wa kirafiki lakini ni mazimwi
masumbufu,
wakati mwingine huitwa "bogi". Ilhali brauni huwa watulivu, hobgoblini huwa wafanya-mzaha
na hupenda vichekesho na huwa na uwezo wa kubadilisha umbo. Katika vitabu vya
Lodi wa Pete, hobgoblini huwa wakubwa zaidi, wenye nguvu zaidi, werevu zaidi na aina ya hatari
zaidi ya zimwi.
Katika vitabu cha komiki cha Mtu-Bui, mhalifu aitwaye
Hobgoblini ni mwigo wa Zimwi la Kijani, lakini na ngozi ya manjano na akivalia
joho lenye kifuniko cha manjano-machungwa hitilafiana na mtangulizi wake.
Hobgoblins are friendly but troublesome goblins, sometimes called a "bogey". While brownies are more peaceful creatures, hobgoblins are pranksters and fond of practical jokes and have the ability to shape-shift. In The Lord of the Rings books, hobgoblins are a larger, stronger, smarter and more menacing form of goblin. In the Spider-Man comicbook series, the villain named Hobgoblin is an imitation of the Green Goblin, but with yellow skin and hooded in a yellow-orange cloak in contrast to his predecessor.
-a kirafiki (friendly)
-sumbufu (troublesome)
-tulivu (calm)
mfanya-mzaha (prankster)
kichekesho (joke)
-erevu (smart)
-a hatari (dangerous)
kitabu cha komiki (comicbook)
mhalifu (villain)
joho (cloak)
kifuniko (hood)
hitilafiana na (in contrast to)
Trolu (Trolls)
Trolu (Troll / Trolls)
Mazimwi ya Kiskandinavia huitwa trolu; lakini tofauti na mazimwi ya kawaida, trolu hawawezi kubadilisha umbo. Trolu ni kiumbe kisicho cha dunia hii katika mitholojia ya Kinorsi na hadithi za jadi za Kiskandinavia. Trolu kwa kawaida huishi kwenye miamba, milima na mapango, na huishi pamoja katika familia ndogo na ni nadra kuwa na manufaa yoyote kwa binadamu. Trolu huelezwa kama wazee kupita kiasi, wenye nguvu sana, lakini waenda pole na wajinga, na mara nyingi huelezwa kama wala-watu na hugeuka jiwe wanapowekwa wazi kwa mwanga wa jua.
-a Kiskandinavia (Scandinavian)
mwamba (rock)
pango (cave)
-zee (old)
-enye nguvu (strong)
-jinga (dumb)
mla-watu (man-eater)
mwanga wa jua (sunlight)

Scandinavian goblins
are called trolls; however unlike regular goblins, trolls cannot shape-shift. A
troll is a supernatural being in Norse mythology and Scandinavian folk-tales.
Trolls normally dwell in rocks, mountains, or caves, and live together in small
families and are rarely of any use to humans. Trolls are described as being
extremely old, very strong, but slow and dim-witted, and are at times described
as man-eaters and turn to stone upon exposure to sunlight.
-a Kiskandinavia (Scandinavian)
mwamba (rock)
pango (cave)
-zee (old)
-enye nguvu (strong)
-jinga (dumb)
mla-watu (man-eater)
mwanga wa jua (sunlight)
Mazimwi (Goblins)
Zimwi (Goblin)
Mazimwi (Goblins)
Mazimwi (Goblins)
Zimwi ni kiumbe kiovu au
kitundu cha kihekaya ambacho kwa kawaida huwa cha kioja kilicho na uwezo wa kujigeuza kuwa maumbo mbalimbali na anaaminiwa kuwa na madhara kwa binadamu na huishi katika
misitu mikubwa. Yanadhaniwa kuwa na uwezo, tabia na sura mbalimbali kutegemea hadithi na nchi
asilia. Wakati mwingine, mazimwi huorodheshwa kama viumbe vinavyoudhi wakati
wote na kwa kiasi yana uhusiano na brauni na nomu . Kwa kawaida huchorwa kuwa kimo cha kijeba . Mara nyingi pia husemekana kuwa na uwezo mbalimbali wa kichawi.
The goblin is a legendary evil or mischievous creature, that is usually grotesque with the ability to change into various forms and is believed to be harmful to humans and live in large forests. They are believed to have various abilities, temperaments and appearances depending on the story and country of origin. In some cases, goblins are classified as constantly annoying creatures and somewhat are related to the brownie and gnome. They are usually depicted to be the size of a dwarf. They are often said to possess various magical powers.
-a kihekaya (legendary)
kuudhi (to annoy)
kijeba (dwarf)
-a kichawi (magical)
kuudhi (to annoy)
kijeba (dwarf)
-a kichawi (magical)
Monday, September 24, 2012
Mshira (Maple)
Mshira (Maple tree; Acer)
Mishira hupandwa
kama kivuli au miti ya mapambo inayomea nchi za kaskazini, kutoa mbao au hutumiwa kutengeneza shira au
sukari. Majani ya mshira ni mekundu au dhahabu wakati wa majira ya mavuno.
Maple trees are grown as shade or ornamental trees which grow in northern countries, for timber or used to make syrup or sugar. Maple leaves are red or gold in autumn.
Subscribe to:
Posts (Atom)