Thursday, August 9, 2012

Walarasi (Walrus)

Walarasi (pia huitwa Nguva Aktiki au Sili-pembeni mnyama mkubwa wa Bahari ya Aktiki anayefanana na nguva mwenye meno mawili marefu, pia yaitwa pembe, kama tembo.


Mapezi ya mbele
Front flippers
Ngozi
Skin
Pembe
Tusks
Shahamu
Blubber
Sharubu
Whiskers
Sikio
Ear
Tundu za pua
Nostrils
Vifuko vya hewa
Air sacs

Vifuko vya hewa - Vifuko vya hewa chini ya koo shingoni mwa walarasi, shingo lililo fupi na nene, vifuko hivyo vina uwezo wa kuvimba na hewa ili kumpa uwezo wa kuelea wima na kichwa chake juu ya maji. Pia vinatumiwa kama vyumba vya mvumo vinavyotoa sauti kama kengele chini ya maji.

Shahamu - Tabaka ya shahamu kubwa iliyo na upana wa hadi sentimita 15 inayomkinga kutoka kwa baridi.

Masikio - Masikio yao madogo yana kunyanzi ya ngozi nje yao ili kufanya vichwa vyao vinyooke ili waogelee vyema zaidi majini.

Mapezi ya mbele - Kinyume ya mapezi ya nyuma, haya ni marefu kama yaliyo mapana, lakini yana unene na gegedu na vidole vitano kama mapezi ya nyuma. Wanapoogelea, yanatumiwa mara kwa mara kupiga kasia katika mwendo ulio chini lakini mara nyingine hutumiwa kuelekeza.

Ngozi - Ngozi ni ya hudhurungi yenye kunyanzi inayoonekana kama inabadilisha rangi kulingana na halijoto, kwa sababu wakati anapohisi joto, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi huongezeka ili kumpoza. Tendo hili humpatia walarasi
sura nyekundunyekundu na huonekana kama ana madoadoa. Anapohisi baridi, utiririshi wa damu kuelekea usoni mwa ngozi hupunguzika, kumpatia sura ya kukwajuka.

Pembe - Zimeundwa na dentini, pembe za walarasi ni ndefu sana na ni meno yanayoendelea kukua. Hazitumiwi kuchimbia chakula lakini huwapea usaidizi mwingi wanapojikokota barafuni au ardhini. Pia zinatumiwa kuonyesha utawala na cheo.

Sharubu - Sharubu zao zilizo puani ni nene na zina hali ya juu ya kuhisi na husaidia wanapotafuta chakula.

Makazi ya Walarasi (The Habitat of the Walrus)

Makazi (The habitat)
Walarasi (Walrus)
Walarasi wa Pasifiki (The Pacific walrus)
Walarasi wa Laptevu (The Laptev walrus)
Walarasi wa Atlantiki (The Atlantic walrus)

Walarasi wa Pasifiki wanaishi Baharini mwa Beringi na Chukchi.

Walarasi wa Laptevu wanaishi Baharini mwa Laptevu.

Walarasi wa Atlantiki wanaishi maeneo ya Grinlandi na Kanada.

Monday, May 28, 2012

Mpekani (Pecan)

Mpekani (Pecan tree; Carya illinoinensis)

Mpekani ni aina ya mhikoria mrefu unaopatikana Kusini mwa nchi za Marekani na Meksiko ambao hukuzwa kwa njugu zake tamu za kulika zalizo na makaka laini yenye umbo la yai na hutumika kutengeza pai za pekani.
The pecan tree is a type of tall hickory found in the southern US and Mexico that is grown for its oval, smooth-shelled, sweet edible nuts and used in making pecan pies.

Mwelmu (Elm)

Mwelmu (Elm tree; Ulmus)
Mwelmu wa Amerika (American elm; Ulmus americana)

Mwelmu ni mti unaojulikana kwa matawi yake yanayomea yakitambaa. Ganda la mwelmu lililokatwa kwa vipande na kuchemsha liliwasitiri wakazi wa mashambani nchini Unorwe wakati wa njaa kubwa mwaka wa 1812.
The elm is a tree known for its branches which grow in a spreading manner. Elm bark, cut into strips and boiled, sustained the rural population of Norway during the great famine of 1812.

Thursday, May 24, 2012

Mkono na Mguu (Hand and Foot)

Mkono na mguu (Hand and foot)
MkonoHand
Kidole cha katiMiddle finger
Kidole cha peteRing finger
Kidole cha shahadaIndex finger
Kidole gumbaThumb
Kidole kidogoPinky finger
KiganjaPalm
KiwikoWrist
KondeFist
KonziKnuckle
Ukaya wa ukuchaCuticle
UkuchaFingernail
MguuFoot
Kidole cha mguuToe
Kidole kidogo cha mguuLittle toe
Kidole kikubwa cha mguuBig toe
Kifundo cha mguuAnkle
Kiganja cha mguuInstep
KisiginoHeel
TaoArch
Ukucha wa kidole cha mguuToenail
WayoSole

Tuesday, May 8, 2012

Wavulana na Vyura (The Boys and the Frogs)

Wavulana na Vyura
Walikuwa wavulana wakicheza kando la ziwa. Mchezo wao ndio kutupa mawe majini, hivyo wakaumiza sana vyura viliomo ziwani. Mwishoni, chura mmoja, hodari kuliko wenzake, akainua kichwa chake ziwani akasema, “Ee, wangwana rafiki zangu, acheni, nawasihi, kwani mchezo wenu ni mauti yetu.”

The Boys and the Frogs
There were boys playing playing by the lake. Their game involved throwing stones into the water and as a result hurt the frogs that were in the lake. Finally, one frog, braver than the others, lifted up his head out of the lake and said. "Hey, my beloved friends, stop, I beg you, because your game is our death!"

ZiwaLake
Jiwe (pl. Mawe)Stone
ChuraFrog
MautiDeath

Saturday, January 28, 2012

Uso wa Binadamu (The Human Face)


Uso (Face)

JichoEye
KibonyoDimple
KidevuChin
KinywaMouth
KinyweleoPore
KipajiForehead
KunyanziWrinkle
MabakabakaFreckles
MdomoLip
NgoziSkin
NyweleHair
PanjaTemple
PuaNose
ShavuCheek
SikioEar
TayaJaw
Tundu ya puaNostril
UkopeEyelash
UsiEyebrow