Saturday, January 28, 2012

Uso wa Binadamu (The Human Face)


Uso (Face)

JichoEye
KibonyoDimple
KidevuChin
KinywaMouth
KinyweleoPore
KipajiForehead
KunyanziWrinkle
MabakabakaFreckles
MdomoLip
NgoziSkin
NyweleHair
PanjaTemple
PuaNose
ShavuCheek
SikioEar
TayaJaw
Tundu ya puaNostril
UkopeEyelash
UsiEyebrow

Thursday, January 26, 2012

Usagaji (Lesbianism)

Msagaji (Lesbian)
Msagaji ni mtu-mke mwenye uvutiwaji kwa watu-wake wengine.

A lesbian is a female with an attraction towards others females.


Uvutiwaji na watu wa jinsia tofauti (Heterosexuality)

uvutiwaji na watu wa jinsia tofauti (Heterosexuality; lit.: attraction to a different sex)
ngono kati ya watu wa jinsia tofauti (heterosexuality; lit. sex between people of a different sex)

"Heterosexuality" ni neno la Kiingereza linalomaanisha uvutiwaji na au ngono kati ya watu wa jinsia tofauti.

"Heterosexuality" is the English word that means the attraction with or sex between people of a different sex.)

Kunyonya mboo (Fellatio)


Kunyonya mboo / Felatio (Fellatio)
Felatio ni tendo la ngono ya mdomo ambapo uume huchangamshwa kwa kunyonywa na mdomo wa mwenzake.

Fellatio is an oral sex act in which the manhood is stimulated by sucking with the partner’s mouth.

Kuramba kuma (Cunnilingus)


Kuramba kuma / Kunilingo (Cunnilingus)
Kuramba kuma ni tendo la ngono la mdomo inayofanyiwa mwanamke kwa kuramba uchi wa mwanamke kwa kutumia ulimi.

Cunnilingus is an oral sex act performed on a female, by licking the female’s genitalia with one’s tongue.

ushoga (homosexuality)

ushoga (homosexuality)
uvutiwaji na watu wa jinsia moja (homosexuality; lit. attraction to people of the same sex)
ngono kati ya watu wa jinsia moja (homosexuality; lit. sex between people of the same sex)

mtu wa jinsia moja (a homosexual)
"Homosexuality" ni neno la Kiingereza linalomaanisha uvutiwaji na wanachama wenye jinsia sawa.

"Homosexuality" is an English word that means the attraction to members with the same sex.

mfiraji (sodomite; bugger)
Mfiraji ni mwanamume ambaye hufira wanaume wengine.
A sodomite, or bugger, is a man who buggers other men.

basha (active male homosexual / top [gay man])
Basha ni mwanamume ambaye hulawiti wanaume.

A top gay man is a man who penetrates men.

msenge (passive male homosexual / bottom [gay man])
Msenge ni mwanamume ambaye hufirwa na wanaume wengine.

A bottom gay man is a man who gets penetrated by other men.

Saturday, January 21, 2012

Tarakimu (Numerals)

Tarakimu (Numeral)

Sifuri Zero
Moja One
Mbili Two
Tatu Three
Nne Four
Tano Five
Sita Six
Saba Seven
Nane Eight
Tisa Nine
Kumi Ten