Tuesday, December 24, 2013

Wadudu na Araknida (Insects and Arachnids)


Mdudu / Wadudu (Insect / Insects)
Dudu / Madudu (Large bug / Large bugs; can be reserved in speech, exclusively to refer to beetles)
Araknida (Arachnid / Arachnids)
Buibui Spider
Bunzi / Mdudu-kibibi Ladybug / Ladybird
Buu Maggot / Larva
Chenene Mole cricket
Chungu Carpenter ant
Dondora Yellow jacket
Dundu Scavenger beetle
Funutu Locust nymph
Funza Chigger
Jongoo Millipede
Kereng'ende Dragonfly
Kifukofuko Cocoon
Kimetameta / Kimulimuli Firefly / Lightning bug / Glowworm
Kipepeo Butterfly
Kipukusa Weevil
Kiroboto Flea
Kivunjajungu Praying mantis
Kiwavi Caterpillar
Kombamwiko / Mende Cockroach
Kombamwiko-kibyongo / Mende-kibyongo Beetle
Kunguni Bedbug
Kupe (Papasi / Utitiri) Tick (Soft tick / Cattle tick)
Majimoto Fire ant
Mavu Hornet
Mbu Mosquito
Mbung'o / Ndorobo Tsetse fly
Mchwa Termite
Mnyoo Worm
Nge Scorpion
Nondo Moth
Nyenje Cricket
Nyigu Wasp
Nyuki Bee
Nyukibambi Bumblebee
Nzi Fly
Nzige Locust
Panzi Grasshopper
Parare Bird grasshopper
Siafu Safari ant
Sisimizi Black ant
Sururu Palm weevil
Tandu Centipede
Tekenya Sand flea / Jigger
Visubi Gnat

20 comments:

  1. Hi Maliki. I think you probably did not mean to say "chigger". Sand fleas are jiggers.
    Best wishes,
    Christiaan.

    ReplyDelete
  2. better than google translate

    ReplyDelete
  3. good job.you have hellped us with our insect project

    ReplyDelete
  4. iko sawa asanteni kwa uzunguwao

    ReplyDelete
  5. Je, huyu mdudu "sangara" anaitwaje kwa kiingereza?

    ReplyDelete
  6. Na yule parade anaye ingia kwa mahindi wa rangu ya kijani kimijikenda wanamuita nyoe aitwaje hayupo kwenye lis

    ReplyDelete
  7. Dudu manyoya in english

    ReplyDelete
  8. Kunguni anapatikana maeneo gani na anasababishwa na nini?

    ReplyDelete
  9. Sijamuona dudu washa,

    ReplyDelete
  10. Kivunjachungu not kivunjajungu

    ReplyDelete
  11. Swahili words for cutworms

    ReplyDelete
  12. Great. Dudu washa ni narrow bee fly?

    ReplyDelete