Umbo la kijiometri (Geometric shape)
Umbo (Shape)
Jiometri (Geometry)
-a Kijiometri (Geometric)
Duara | Circle |
Duaradufu | Oval (Ellipse) |
Hilali (Mwezi) | Crescent |
Moyo | Heart |
Mraba | Square |
Msalaba | Cross |
Msambamba | Rhombus (Diamond) |
Mshale | Arrow |
Mstari | Line |
Mstatili | Rectangle |
Nusuduara | Semi-circle |
Nyota | Star |
Pembenane | Octagon |
Pembesita | Hexagon |
Pembetano | Pentagon |
Pembetatu | Triangle |
Pete | Ring |
Tenge | Trapezoid |
Asante
ReplyDeleteNa cylinder
ReplyDeletemche
DeleteMche
DeleteCylinder is mche.
ReplyDeleteCylinder is not mche bali mcheduara.
DeleteMiche ipo mingi tuu..
Miche ni yale maumbo yenye kumantain cross section hiyo crosssection inaweza kuwa duara(cylinder) au triangular au rectangular au pentagon or more..
Mche ni prisms so the special prism with circular section is what we call cylinder.
Meanwhile.. we have pyramids, circular pyramid(cone) triangular pyramid, rectangular pyramid and special pyramid with circular base is what we call a cone
Kopa
DeleteYes true
DeletePembe kumi in english
DeleteCylinder is mche.
ReplyDeleteMche duara
DeleteAsante kaka
ReplyDeleteNa Cone je?
ReplyDeletePia
DeleteZig zag ?
DeleteWhat about right angle
DeleteMstari sulubu
DeleteMstari sulubu is perpendicular line
DeleteNa sphere je?
ReplyDeleteBafe
DeleteWavy line?
ReplyDeleteWavy line ni wimbi
DeletePembebutu ina kaa aje
DeletePembebutu ina kaa aje
DeleteKopa ?
ReplyDeleteLOVE
DeleteHEART
DeleteKopa
DeleteSijui
DeleteAlso asking
DeleteWavy line je?
ReplyDeleteZigizagi
DeleteZigizagi
DeletePia ni gani?
ReplyDeleteCone
DeleteCone
DeleteMehe
DeleteCone yaitwa Aje Kwa Kiswahili????
ReplyDeletePia
DeletePia
DeleteWhat is pia
DeleteHori ni ipi?
ReplyDeleteHori ni ipi?
ReplyDeleteManger
DeleteAnd spiral shape?
ReplyDeletemzunguko
Deleteparafujo
DeleteZigzag
DeleteTao is which symbol
ReplyDeleteCrescent 🌙
DeleteHeart shape?
ReplyDelete♥️
DeleteKopa
DeleteWhat is the name of a 90 degrees angle in Kiswahili
ReplyDeleteMviringo ni nini?
ReplyDeleteZig zag in swahili?
ReplyDeletendio
DeleteZigizaga
DeleteHiram ni umbo gani
ReplyDeleteNa tao je?
ReplyDeleteArc in kiswahili ni nini
ReplyDeleteTao
DeletePipe kwa kiswahili
ReplyDeleteNa tiara
ReplyDeleteje pia ni nini?
ReplyDeleteA cone
DeleteNa Ngoe
ReplyDeleteKindly ,ngoe Ni umbo lipi?
DeleteWhat's is kila in kiswahili
ReplyDeleteEach
DeleteSorry kopa not kila
ReplyDeleteMviringo Nino
ReplyDelete..nini
ReplyDeleteTofauti ya mche na mche duara
ReplyDeleteMistari sambamba ni
ReplyDeleteParallel lines
Deletemshazari?
ReplyDeleteNa parallel lines ni ?
ReplyDeletemistari sulubu
Deletemehe ni nini ?
ReplyDeleteMehe ni shape gani?
ReplyDeleteUmbo la mehe ni gani?
ReplyDeleteMehe.
ReplyDeleteMehe ni umbo gani
ReplyDeleteMehe ni umbo gani
ReplyDeleteWhat about cone?
ReplyDeleteNi pia
DeleteMehe ni umbo gani?
ReplyDeleteTao ni umbo gani?
Kikembe Cha nyangumi?
ReplyDeleteTao ni umbo gani
ReplyDeleteTao ni umbo gani
ReplyDeleteMehe ni umbo lipi
ReplyDeleteHori
ReplyDeleteHori ni umbo gani
ReplyDeleteMehe ni umbo gani
ReplyDeletenaam mehe ni umbo gani?
ReplyDeleteMehe ni umbo lipi
ReplyDeleteNa mehe
ReplyDeleteje kite huitaje
ReplyDeleteNa tufe
ReplyDeleteWhat about a half oval with
ReplyDeleteduara
ReplyDeleteanother name of KISHADA in swahili
ReplyDeleteMehe ni umbo gani
ReplyDeleteWhat about curved line in swahili
ReplyDeletepiashinda ni umbo gani?
ReplyDeleteNgoe ni umbo gani
ReplyDeleteUmbo la mehe ni lipi
ReplyDeleteShape ya kopa Ni gani
ReplyDeleteAcute angle kwa kiswahili ni
ReplyDeleteNa mehe je
ReplyDeleteNa mehe je
ReplyDeleteNa je mehe?
ReplyDeleteNa uru,mchinjo kati na kishada hiari
ReplyDeleteSpade shape in kiswahili
ReplyDeleteKiguni pembe inscribed circle
ReplyDeleteKiguni duara circumscribed circle
Moira Una umbo gani?
ReplyDeleteMpira Una umbo gani
ReplyDeleteNa Geli ni umbo gani
ReplyDeleteNgoe Ni umbo lipi
ReplyDeleteKuru ni umbo lipi
ReplyDeleteMehe ni Umbo?
ReplyDeleteKizio ni umbo lipi
ReplyDeletethx for the help am doing homework
ReplyDeleteNice
ReplyDeleteKite shape in swahili
ReplyDeleteUmbo la mustari sulubu
ReplyDeleteMnipe majibu
ReplyDeletesijui kaka baba wewe
Deleteunabo
Aina za maumbo ya ukumbi Ni zipi????
ReplyDeleteKopa?
ReplyDeletePembe saba
ReplyDeletetiara in English
ReplyDeleteWeb ni umbo Au
ReplyDeletePembe nane =pembe tatu ngapi?
ReplyDeleteCuboid
ReplyDeleteSwahili should be abolished from Uganda
ReplyDeletepia ni umbo gani kwa kingereza
ReplyDeleteCone
DeleteNa umbo la shupanza linaitwa aje kwa kingereza?
ReplyDelete