Spoti (Sport / Sports)
Mchezo (Game)
Michezo (Games)
Mchezo (Game)
Michezo (Games)
| Besiboli | Baseball (sport) |
| Glavu ya mdakaji | Catcher's mitt |
| Gofu | Golf |
| Gongo la besiboli | Baseball bat |
| Hoki ya barafuni | Ice hockey |
| Kandanda ya Marekani | Football (UK: American football) |
| Kigoe cha hoki | Hockey stick |
| Kikapu | Basket |
| Kitovu | Base |
| Kiwanja | Court |
| Klabu ya gofu | Golf club |
| Mcheza-gofu (Mchezaji wa gofu) | Golfer |
| Mchezaji wa besiboli | Baseballer |
| Mchezaji wa hoki (ya barafuni) | (Ice) hockey player |
| Mchezaji wa kandanda (ya Marekani) | Football player |
| Mchezaji wa mpira wa kikapu | Basketballer |
| Mchezaji wa mpira wa wavu | Volleyballer |
| Mchezaji wa soka/kandanda (Mcheza-soka/-kandanda) | Soccerplayer (UK: Footballer) |
| Mcheza-tenisi (Mchezaji wa tenisi) | Tennis player |
| Mchezo wa kuviringisha tufe | Bowling |
| Mchezo wa mpira wa kikapu | Basketball (sport) |
| Mchezo wa mpira wa wavu | Volleyball (sport) |
| Mpira wa besiboli | Baseball |
| Mpira wa gofu | Golf ball |
| Mpira wa kandanda ya Marekani (Mchezo wa mpira wa miguu wa Kimarekani) |
Football |
| Mpira wa kikapu | Basketball |
| Mpira wa miguu (Mpira wa soka/kandanda) | Soccerball (UK:Football) |
| Mpira wa tenisi | Tennis ball |
| Mpira wa wavu | Volleyball |
| Mviringisha-tufe | Bowler |
| Mwamuzi | Umpire |
| Neti | Net |
| nyasi ya sanisia | Artificial turf |
| Pini / Mapini | Pin / Pins |
| Raketi ya tenisi | Tennis racquet |
| Shimo | Hole |
| Soka (Kandanda) | Soccer (UK: Football) |
| Tenisi | Tennis |
| Tufe la hoki | Hockey puck |
| Tufe la kuviringisha | Bowling ball |
| Uwanja | Field |





