Wilaya za Uchina | Provinces of China |
Anhui (Ankingi-Hweichou) | Ānhuī (Anqing-Huizhou) |
Chekiangi (Mto wa Kiantangi) | Zhejiang (Qiantang river) |
Chungkingi (Maadhimisho ya Maradufu) | Chongqing (Double celebration) |
Fukieni (Fuchou-Kianchou) | Fújiàn (Fuzhou-Jianzhou) |
Gansu (Magharibi Ndefu) | Gānsù (Long West) |
Hainani (Kusini mwa bahari) | Hǎinán (South of the sea) |
Hebei (Kaskazini mwa mto) | Héběi (North of the river) |
Heilungkiangi (Mto wa joka mweusi) | Hēilóngjiāng (Black dragon river) |
Henani (Kusini mwa mto) | Hénán (South of the river) |
Hongu Kongu | Hong Kong |
Hubei (Kaskazini mwa ziwa) | Húběi (North of the lake) |
Hunani (Kusini mwa ziwa) | Húnán (South of the lake) |
Jilingi (Kando ya mto) | Jílín (Along the river) |
Kiangsi (Kiangnani ya Magharibi) | Jiāngxī (Western Jiangnan) |
Kiangsu (Kiangningi-Suchou) | Jiāngsū (Jiangning-Suzhou) |
Kinghai (Bahari ya Kijani) | Qīnghǎi (Green sea) |
Kwangsi (Eneo pana la Magharibi | Guǎngxī (Western expanse) |
Kwangtungu (Eneo pana la Mashariki) | Guǎngdōng (Eastern expanse) |
Kweichou (Wilaya ya Kwei) | Guìzhōu (Gui prefecture) |
Liaoningi (Liaoyangi-Ningyuani) | Liáoníng (Liaoyang-Ningyuan) |
Makau | Macau |
Mongolia ya Ndani | Inner Mongolia |
Ningsia (Sia ya Magharibi) | Níngxià (Western Xia) |
Pekingi | Beijing |
Shandongu (Mashariki ya milima) | Shāndōng (East of the mountains) |
Shanghai | Shànghǎi |
Shansi (Magharibi ya milima) | Shānxī (West of mountains) |
Shensi (Magharibi ya Shanchou) | Shǎnxī (West of Shanzhou) |
Sichwani (Mizingusho Minne ya Mito) | Sìchuān (Four circuits of rivers) |
Sinkiangi (Mpaka mpya) | Xīnjiāng (New Frontier) |
Tibeti | Tibet |
Tientsini | Tiānjīn |
Yunani (Kusini mwa Yunglingi) | Yúnnán (South of Yungling) |
|
|
Chakula cha Kichina | Chinese food |
Chau-meini (Tambi zilizokaangwa za Kichina) | Chow mein (Chinese fried noodles) |
Gyoza za Kichina (Maandazi ya nyama) | Potstickers (Meat dumplings) |
Keki ya mwezi | Mooncake |
Keki za boza-maji | Water chestnut cakes |
Kuku Kungu-Pao | Kung Pao chicken |
Nyama tamuchachu ya nguruwe | Sweet and sour pork |
Nyama ya bata ya Pekingi | Peking duck |
Vikuto vya mayai | Egg rolls |
Mantou (Vitobosha vilivyopikwa kwa mvuke) | Mantou (Chinese steamed buns) |
Wali iliyokaangwa | Fried rice |
|
|
Alama za Uchina | Symbols of China |
Bendera Nyekundu yenye Nyota Tano | Five Star Red Flag |
Bendera ya Kichina | Chinese flag |
Fedha zinazotumika za Uchina (Renminbi) | Chinese currency (Renminbi) |
Hanfu (Joho la hariri la Kichina) | Hanfu (Chinese silk robe) |
Joka la Kichina | Chinese dragon |
Kiao (wingi: Viao) | Jiao |
Kipao (Gauni la Kichina) | Qípáo (Chinese dress) |
Mpeonia | Peony plant |
Nembo ya Uchina | Emblem of China |
Panda mkubwa | Giant panda |
Peonia | Peony flower |
Sufii Mtibeti | Tibetan monk |
Wapanda-baiskeli | Cyclists |
Yuani | Yuan |
|
|
Mahali pa Uchina | Places of China |
Hekalu ya Mbingu | Temple of Heaven |
Jumba Potala | Potala Palace |
Nyumba za Kichina | Chinese houses |
Pekingi | Beijing |
Shanghai | Shanghai |
Tiananmeni (Lango la Amani ya Mbinguni) | Tiananmen (Gate of Heavenly Peace) |
Ukuta Mkuu wa Uchina | Great Wall of China |
Uwanja wa Tiananmeni | Tiananmen Square |
|
|
Lugha za Uchina | Languages of China |
Kichina sanifu (Kimandarini) | Standard Chinese (Mandarin) |
Kikantoni | Cantonese |
Kiingereza | English |
Kireno | Portuguese |
Kiighuri (Kituruki cha Mashariki) | Uyghur (Eastern Turki) |
Kitibeti | Tibetan |
Kimongolia | Mongolian |